LGE2024 Manyoni: George Juma Mohamed, Mgombea wa CHADEMA auawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia tar 27, 11, 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
..Ni mauaji ya mgombea wa Chadema ktk wilaya ya Manyoni.

..zilifanyika jitihada za kumdanganya DC pamoja na wachunguzi wa Polisi ili kuwalinda wauaji.

..inaelekea DC Dr.Mashinji ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema hataki kuwalinda wauwaji.

..tusubiri kuona kama wahusika watachukuliwa hatua, lakini inaelekea CCM ina magenge ya kihalifu yamesambaa nchi nzima.

View: https://www.youtube.com/watch?v=jVM7kwn9HQE

Mashinji ni chawa alifika bei wakati wa jiwe! Jinga sana!
 
Hivi neno "mstaafu" huwa maana yake ni nini?Na hutumiwaje kwa mtu husika?
 
Mashinji ni chawa alifika bei wakati wa jiwe! Jinga sana!
Wala usimuhukumu Mashinji kwa kuhamia CCM huko CDM kuna viongozi wabaya zaidi kuliko huyo aliye hamia rasmi CCM kuna viongozi wapo CDM lakini wanakula hela za CCM na wanajuana kwa hiyo mtu akipatiwa hulaji hawezi kuacha kwasabu anajua kuwa hata wenzake wanakula. Mashinji alikuwa mtu wa karibu sana na Mwenyekiti kwa vyovyote vile alipo pata ofa alimuomba ushauri na yeye akamkubalia ndiyo maana hawakumrudisha kwenye nafasi yake. Mimi si mlaumu mashinji wala msigwa wote wamechagua maamuzi mazuri tu kwa mstakabali wa maisha yao.
 
..usiseme wanakula hela za CCM.

..hizo ni kodi zetu Watanzania zinatapanywa kwa mambo ya hovyohovyo.

..CCM wanapokea ruzuku BILLION 3.2 kila mwezi, na inawakamua matajiri na wafanyabiashara kila wakati.

..na bila kuikataa na kuiadabisha CCM tusitegemee michezo hiyo ikakoma.
 
..Ni mauaji ya mgombea wa Chadema ktk wilaya ya Manyoni.

..zilifanyika jitihada za kumdanganya DC pamoja na wachunguzi wa Polisi ili kuwalinda wauaji.

..inaelekea DC Dr.Mashinji ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema hataki kuwalinda wauwaji.

..tusubiri kuona kama wahusika watachukuliwa hatua, lakini inaelekea CCM ina magenge ya kihalifu yamesambaa nchi nzima.

View: https://www.youtube.com/watch?v=jVM7kwn9HQE

tusubiri kuona kama wahusika watachukuliwa hatua, lakini inaelekea CCM ina magenge ya kihalifu yamesambaa nchi nzima.
 
..usiseme wanakula hela za CCM.

..hizo ni kodi zetu Watanzania zinatapanywa kwa mambo ya hovyohovyo.

..CCM wanapokea ruzuku BILLION 3.2 kila mwezi, na inawakamua matajiri na wafanyabiashara kila wakati.

..na bila kuikataa na kuiadabisha CCM tusitegemee michezo hiyo ikakoma.
Sasa watu wakuiadibisha Ccm wako wapi hao wana pokea hela Za Abdul ndiyo wata iadibisha CCM hao wanakwenda kuchukua michango kwa Mama na kusema mama anatoa sadaka kwa kanisa. Tusijidanye kizazi chetu ni cha kinafiki hakiwezi mapambano yoyote, wewe ukipata nafasi itumie kula tu hata Lisu namshauri aende akachukue zile fedha alizozikataa.
 
..wananchi ndio watakaoiadhibu CCM.

..CCM wanafanya upuuzi huo kwasababu wananchi wamekuwa wapole.

..wanaofaidika na CCM ni genge la watu wachache sana wanaopata teuzi za Mama.

..Mama hamtumi mwanae Abduli kupiga wapinzani mapanga, wanatumika watoto wa masikini.

..Polisi wanaotumika kubeba maboksi ya kura wana hali mbaya kimaisha chini ya utawala wa CCM.
 
Utashangaa Viongozi wa CHADEMA wanakamatwa baadala ya polisi aliyefanya mauaji
 
Mungu Ibariki CHADEMA📌🔨
20241201_064532.jpg
 
..MODERATOR wameunganisha uzi wangu ili kufifisha ujumbe wake.
 
Back
Top Bottom