Maombi, sala na dua za mke wangu ni kero kwangu

Ni kawaida ya wanawake, Wana maji ya upako, mafuta ya upako, chumvi ya upako, chupi ya upako kwa wanaotaka kuolewa au kupata watoto zaidi ya hayo yote, unawakuta wamejipanga mstari kwa Mshana Jr
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizi tuhuma jamani, chupi ya upako sijui ikoje, na sijui inasaidi nini

Chumvi ya upako najua Mshana Jr huwa anauza
 
Hakuna mwanamke anapenda mwanaume mwenye wanawake wengi.
 
Nunua gunia za mkaa badala ya tatu nunua 4. Ziweke chumbani bila kusema lolote akiendelea nitafute
 
Hakuna mwanamke anapenda mwanaume mwenye wanawake wengi.

Aiseeee wapo

Mwanaume malaya ana soko kubwa kuliko wa kawaida..

Kumbuka nilisema deep down wanapenda hii kwahiyo nje nje uwaga mnakataa ila ndani ya moyo uwaga mnajiuliza hivi huyu ana nini mbona anapendwa ngoja nijaribu nione.

Popote pale mwanaume ukifika ukatembea na mwanamke mmoja mzuri basi kama ni mtaani au darasani au kazini basi hapo ni umefungulia lango la kutembea na wanawake wengi ktk ilo eneo....

Tunao humu makazini tulikuwa nao humu vyuoni tunaona kabisa mtu ana maliza darasa hivi hivi na ni yeye mmoja mtu.Chunguza na wewe ulipo tafuta mwanaume malaya mmoja uone wanawake wanavyokuwa na mawenge wakimuona,wewe jitoe angalia wanawake wenzako wanyofanya mbele ya mwanaume malaya..just observe.
 
Huyo anakuektia maisha kama sio hivyo ana lake jambo ila ni kituko kweli kweli [emoji38][emoji4]
 

[emoji23][emoji23] uyo wako ni noma huwa najiuliza kama mwanaume unatimiza majukumu yako kwa familia hiyo pombe ina effect gan kwake mpaka iwe hivyo
 

Anaacha kuombea uchaguzi anakazana na wewe na pombe [emoji3]
 
Hakuna namna inabidi nikutafutie kamlupo kamoja pisi hatari ukatafunage taratibu jamaa yangu. Maana mpaka sasa amini usiamini anakuhesabia ni moja ya wanaume maboya sana duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…