Maoni: Alikiba hakuendana na ukubwa wa sherehe

Kiukweli alipoingia Kiba nilipokuwa nimekaa nikasimama walau nimpe sampoti King , ila nilijikuta kwenye mfadhaiko wa nafsi kuona wimbo unaoimbwa hauendani na tulipo , mimi kusimama kote nilitaka kusikia ule wimbo wa toka zamani .

Ajabu , kaka Kiba kaimba kawimbo kakijinga then katokomea huko niliumia sana ila nikaja kufuruhishwa na infatino kwa lile neno , Simba nguvu moya .[emoji3][emoji3]

Mkuu Labani og kwa hili sikupingi kajamaa kalipuyanga sana .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kabisa mkuu...kiba ni msanii mkali....ila ubunifu 3%
 
It's a matter of fact ..... Alikiba wasn't a right person to that event....
Kiingereza cha darasa la ngapi?Ali Kiba wasn't (a)right person to (that) event.
Ficha ujinga wako.Unatafuta umaarufu huku uwezo huna.Hata kiingereza cha darasa la saba kinakushinda.Halafu aliyekusudiwa kuburudishwa kwa kiswahili kwenye hiyo sherehe ni Rais wa FIFA?
 
Kunywa maji mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…