MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Kiukweli alipoingia Kiba nilipokuwa nimekaa nikasimama walau nimpe sampoti King , ila nilijikuta kwenye mfadhaiko wa nafsi kuona wimbo unaoimbwa hauendani na tulipo , mimi kusimama kote nilitaka kusikia ule wimbo wa toka zamani .Jana nimecheka sana yaani kuna Rais wa FIFA, CAF na legendary Wenger then anakuja msanii Alikiba anaimba wimbo wa mke wa mtu sumu! [emoji23][emoji23] Ama kweli uongozi wa Simba kama alivyosema rage ni Mbumbumbu.
Haileti sense kwenye sherehe kubwa unaimba wimbo ule, ni kama unawafokea viongozi, na mashabiki, that's why nilitoka uwanjani kwa hasira sana.
Pale ilibidi isikike neno "We zombie" Simba la Simba chibu dangote "Shu", ama kweli Pengo la Diamond na Harmonize limeonekana jana kwa Mkapa.
Ajabu , kaka Kiba kaimba kawimbo kakijinga then katokomea huko niliumia sana ila nikaja kufuruhishwa na infatino kwa lile neno , Simba nguvu moya .[emoji3][emoji3]
Mkuu Labani og kwa hili sikupingi kajamaa kalipuyanga sana .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app