Maoni: Kama una miaka 25+ na humiliki kipande chochote cha ardhi (hata 2*2) kuna uwezekano mkubwa kufa masikini

Ndiyo maana hata hawajihangaishi na suala la kununua ardhi huko
 
Wachumia tumbo utawajua tu,,
 
Umeongea ukweli kwa mazingira ya TZ yetu.Ila kwa mazingira ya dunia sio kweli.Nimeishi Newyork nikashukia sehemu sijaona udongo kwa miezimi3 siku niliuona ni ua lilipandwa kwenye kopo.
Ila ahsante kwa mawazo yako ngoja tuwaambie vijana tumekalia utajiri African ni Eden
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…