Sasa hapo posho italeta maji ama umeme? Posho na vitu ulivyoviongelea mbona haviendeni?
 
Walimu walikukosea nini?!!
 
Mishahara ya walimu ni kama ifuatavyo kabla ya makato
Certificate anaanzia 479k
Diploma anaanzia 590
Degree anaanzia 780k
Je, hiyo ni pesa ndogo kwamaisha ya Mtanzania wa kawaida?
Kwa upande wangu naona shida siyo viwango vya mishahara bali kubwa ya walimu hasa wa vijijini ni exposure, posho na semina za mara kwa mara.
 
Wapi huko kada ya afya wanalipwa posho ya mazingira magumu!?
 
...Huwa nakushangaa sana wewe maisha Yao yanakuhusu nini? achana nao by the way juzi uliletwa Uzi hapa jamaa anatamani ualimu...!!!ukiona Cha Nini mwanzako anasema atapata lini....
 
1. Walimu Hawana pakuiba...
2.Hakuna kundi lililojaa wanafiki kama walimu
3.Kutwa nzima unalikuta jaalimu la kiume lipo bega Kwa bega na mwalimu wa kike, sio litaomba mzigo ni umbea umbea tu.
4. Haya!!! mwalimu mmoja aanzishe mradi, walimu wenzie hao Kwa mkurugenzi jamaa hafundishi.
5. Na wao wakaona waingie kwenye betting, Sasa kanjibai anavyo warambisha udongo. Hawa jamaa😂
 
pana ukweli hapa !
 
Take home ya Mwalimu wa degree Tamisemi, anayeanza kazi inaligana na take home ya afisa Utumishi wa Tamisemi anayeanza Kazi, afisa maendeleo ya jamii anayeanza kazi nk, mbona umewakomalia walimu tu?
 
Nipo apa na jamaa mmoja anatupa story yeye ni mwalimu anasema inafikaga wakati hali inakuwa ngumu hata Familia inalala njaa. Walimu wana mishahara midogo sana hawawez hata kujiamini popote pale walipo ndio mana wana hofu

Uoga wao ni kutokana na ugumu wa maisha waliyonayo, serikali waoneeni huruma walimu jamani na hii January ili wapate nauli ya kurudi makazini lazima wakakope Bayport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…