Maoni: Mechi ya Simba na Yanga huenda ikaghairishwa kwa sababu ya mvua

Maoni: Mechi ya Simba na Yanga huenda ikaghairishwa kwa sababu ya mvua

Mkuu wakiandika wenzio unawaita watoto (utoto)

Mbona na wewe kuna vitu hafifanani na uandishi na uchambuzi wako?

I'd yako inaheshimika humu , samahani Kama nimekukwaza

Jack Daniel

Hapana mkuu hujakosea.
Karibu sana kunishauri, kunikosoa,na hata kunionya ninapokosea mimi ni Binadamu na si mkamilifu.

Napenda sana mtu mkweli anayesema Ukweli ukweli unanisaidia sana (ukweli unaweka huru yoh8:32)

Huyu jamaa anafanya unajimu,ubashiri,utabiri, kamali nk.
Haya yote yamekatazwa kwenye maandiko matakatifu (Torati 18:9-).

angalau angekuwa na sorce kutoka TMA ningemuelewa kidogo.

MUNGU ndie mpangaji wa Yote maandalio ya moyo ni ya mwanadamu bali jawabu la ulimi latoka kwa MUNGU

MUNGU NDIYE MWENYE HATIMA YA MAMBO YOTE NA SI MWANADAMU.
 
Muda ni hakimu wa kweli yeye huwa anahukumu kwa haki yote.

Kwanini tusisubiri muda utuambie wenyewe????

Mambo ya unajimu ,ubashiri,kamali nk imanj yangu inakataza sana.

Ni dhambi
 
Kama Yanga Alicheza Fainali Ya Michuano mikubwa na mvua.. Sembuse mechi ya ligi! Iwe mvua iwe jua kitapigika.
 
Jack Daniel

Hapana mkuu hujakosea.
Karibu sana kunishauri, kunikosoa,na hata kunionya ninapokosea mimi ni Binadamu na si mkamilifu.

Napenda sana mtu mkweli anayesema Ukweli ukweli unanisaidia sana (ukweli unaweka huru yoh8:32)

Huyu jamaa anafanya unajimu,ubashiri,utabiri, kamali nk.
Haya yote yamekatazwa kwenye maandiko matakatifu (Torati 18:9-).

angalau angekuwa na sorce kutoka TMA ningemuelewa kidogo.

MUNGU ndie mpangaji wa Yote maandalio ya moyo ni ya mwanadamu bali jawabu la ulimi latoka kwa MUNGU

MUNGU NDIYE MWENYE HATIMA YA MAMBO YOTE NA SI MWANADAMU.
Poa poa
 
Uandishi mwingine unakera sana,ni bora kukaa kimya kuliko kuanzisha thread yenye makosa ya kshamba hivi, itahairishwa=itaahirishwa
Na ww pia umekosea

Itaahirishwa= itakhairishwa
 
Uandishi mwingine unakera sana,ni bora kukaa kimya kuliko kuanzisha thread yenye makosa ya kshamba hivi, itahairishwa=itaahirishwa
Japo sio nieandika lakini wacha nimtetee muandishi.
Kwa maoni yangu muandishi ndio yuko sahihi nawewe umepuyanga.

ITAAHIRISHWA hicho sio kiswahili sahihi, labda huko mkoani kwenu.

Ila sisi wenye kiswahili chetu (pwani) tunasema ITAGHAIRISHWA, ama kama alivyo andika muandishi ITAHAIRISHWA.

Kumbuka hilo neno ni la kiarabu, sio kihaya, kisukuma, wala kichaga.

Labda uniambie kama huko mkoani kwenu munalitamka hivyo.
 
Ni kuahirishwa sio kuhairishwa ukiweza rekebisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Viswahili vya mikoani hivyo.
Ndugu muandishi yuko sahihi kabisa, tatizo lenu utotoni munaongea viruga weee, mukishaanza primary ndio munaanza kujifunza kiswahili.

Hilo neno Kughair ni lakiarabu, sasa wewe mchinja nguruwe utalijulia wapi?
 
Back
Top Bottom