loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Yametimia japo mvua kubwa uliyosema imenyesha jpili. Huenda mechi ikaahirishawa kama ulivyotabiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mvua hiyo hiyo ndiyo tunayoitaka sisi wanamnyama. Hivyo tuliza mshonoSababu kubwa.
Mvua itanyesha kubwa sana jumamosi na itasababisha maafa makubwa.
Uwanja hautaweza kuchezeka mechi.
Tujiandae kwa hilo
Hii.mvua ni kubwa sana,ni mvua ya yanga,mvua ya simba kuzaa huwa ni ya manyunyu,na mda mpira unaochezwa ni mda wa majini ya yanga yapo activeMvua hiyo hiyo ndiyo tunayoitaka sisi wanamnyama. Hivyo tuliza mshono
Bado mapema sana hii.Hii leo sizani kama ipo aisee [emoji26]
Mkuu saa 5 hii ila bado mvua inachochea sanaBado mapema sana hii.
Mvua yoooooote ni ya Simba. Unajua chura akinyeshewa mvua hukumbilia kujifocha ndani ya bwawa. Na hapo ndiyo mnyama huchukua ushindi kwa sababu tayari chura yumo ndani ya bwawa.Hii.mvua ni kubwa sana,ni mvua ya yanga,mvua ya simba kuzaa huwa ni ya manyunyu,na mda mpira unaochezwa ni mda wa majini ya yanga yapo active
Chura anapenda maji mzeeMvua yoooooote ni ya Simba. Unajua chura akinyeshewa mvua hukumbilia kujifocha ndani ya bwawa. Na hapo ndiyo mnyama huchukua ushindi kwa sababu tayari chura yumo ndani ya bwawa.
Viwanja vyao havitawami majiWatu wanacheza mvua na mabarafu ujerumani uko ije iwe mvua
Leo hakuna mechiMkuu saa 5 hii ila bado mvua inachochea sana
Hii mechi haichezwiiii nakzia haichezwii mpaka wajue MUNGU ndo kila kitu,umeweka mpira mbele mkamsahau muumba wenuMechi lazima ichezwe, msileta maujinga yenu hapa. Ipigwe hivyo hivyo tumalizane kabisa huu mwaka 2023.
IpoLeo hakuna mechi
Board ya ligi wasema hata inyeshe vipi mechi ipo pale pale.Hii mechi haichezwiiii nakzia haichezwii mpaka wajue MUNGU ndo kila kitu,umeweka mpira mbele mkamsahau muumba wenu
Hii mechi haichezwi nipo palee
Nakuambia hivi kati ya binadamu na MUNGU nani yupo juu??Board ya ligi wasema hata inyeshe vipi mechi ipo pale pale. View attachment 2804559
Thibitisha kama mungu ndiye mpangaji wa yote cc KirangaJack Daniel
Hapana mkuu hujakosea.
Karibu sana kunishauri, kunikosoa,na hata kunionya ninapokosea mimi ni Binadamu na si mkamilifu.
Napenda sana mtu mkweli anayesema Ukweli ukweli unanisaidia sana (ukweli unaweka huru yoh8:32)
Huyu jamaa anafanya unajimu,ubashiri,utabiri, kamali nk.
Haya yote yamekatazwa kwenye maandiko matakatifu (Torati 18:9-).
angalau angekuwa na sorce kutoka TMA ningemuelewa kidogo.
MUNGU ndie mpangaji wa Yote maandalio ya moyo ni ya mwanadamu bali jawabu la ulimi latoka kwa MUNGU
MUNGU NDIYE MWENYE HATIMA YA MAMBO YOTE NA SI MWANADAMU.