Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
- Thread starter
- #21
Hii mechi haichezwi nipo palee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitoto vya juzi vinajifanya vinajuwa lugha hii adimuViswahili vya mikoani hivyo.
Ndugu muandishi yuko sahihi kabisa, tatizo lenu utotoni munaongea viruga weee, mukishaanza primary ndio munaanza kujifunza kiswahili.
Hilo neno Kughair ni lakiarabu, sasa wewe mchinja nguruwe utalijulia wapi?
Wewe sasa ndo mbwa, mada inahusiana vipi na hiki ulichopost?"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Umemfundisha heshima mtoto huyoHivi mkuu unajiona ni timamu kweli kichwani?
Maoni aliyotoa mleta mada na kauli ya Luc Eymael ina uhusiano gani ikiwa mleta uzi katoa na sababu zake ambazo dalili zinajioneaha?
Halafu ndio wewe unalia na moderator humu kwanini wanalea watu wapumbavu, sasa hapo wewe una u- smart gani kujibu vitu vilivyo nje ya hoja? Jibu hoja au pinga hoja ya mleta uzi ndio u smart wenyewe, kama huna hoja kaa pembeni soma tu sio kujilazimisha ku comment hata ujinga na upumbavu usiohusina na mada
Mwisho ni kwamba nimalizie kwa kusema kuwa ushabiki unaweza kukutoa utu, ubinadamu, ustarabu na heshima endapo tu utakuwa mshabiki mlevi kupindukia, sizani kama katika familia yenu hakuna mbwa na manyani, sizani kama katika ukoo wenu watakosa hao manyani na mambwa hvyo umefikia kuwatusi hadi ndugu zako wanaoshabikia Yanga. Sio jambo baya kuwatusi kwasababu ndio akili yako ilivyokuwa kutokana na ulevi ulionao wa Usimba na Uyanga.
Bado kuna makosa Itaakhirishwa vijana Wales ni hovyo kabisa katika uandishiUandishi mwingine unakera sana,ni bora kukaa kimya kuliko kuanzisha thread yenye makosa ya kshamba hivi, itahairishwa=itaahirishwa
Wee naye kilaza tu,mwanzoni heading iliandikwa kuhairisha nakamwambia ni kuahirisha,baadae mods wameedit ikawa kuahirisha,sasa wewe na ujuaji uchwara wako unaleta upuuzi mwingine,kwahiyo mods na wewe nani wajuvi!?Na wewe umekosea neno sahihi ni itaairishwa
Hahahahaha, umeiweka vzrSidhani kama kuna kupishana akili labda tumepishana kwa idadi ya vidato tu ila akili zote ziko vile vile sawasawa!
Nchi zingine umeme ukikatika dakika kumi tu wako barabarani Rais kilaza atoke na mabango kibao ila sisi tumeambiwa miezi sita umeme hakuna hakuna hata mmoja aliejali!
Juzikati wamebeba mabilioni sijui 200 kukarabati uwanja wa
Mkapa sasa kwanini hawakuufunika , Pesa zote wamefanyia nini, akili fupi ni asili yetu!!
Wabongo akili zetu zimeishia pale tunasema boli Simba na Yanga lichezwe iwe jua iwe mvua tuoneshane umwamba basi!!
Mpaka mseme 😂😂Huu mpira na mvua utakua butua butua tu, hapa ndo Simba wanaweza pata matokeo maana wamezoea papatu papatu, biriyani la gamondi Leo halitaonekana
Kwani mods ni malaika mpaka wasikosee mods ni watu kama wewe ulivyoWee naye kilaza tu,mwanzoni heading iliandikwa kuhairisha nakamwambia ni kuahirisha,baadae mods wameedit ikawa kuahirisha,sasa wewe na ujuaji uchwara wako unaleta upuuzi mwingine,kwahiyo mods na wewe nani wajuvi!?