Maoni: Mechi ya Simba na Yanga huenda ikaghairishwa kwa sababu ya mvua

Yametimia japo mvua kubwa uliyosema imenyesha jpili. Huenda mechi ikaahirishawa kama ulivyotabiri.
 
Sababu kubwa.

Mvua itanyesha kubwa sana jumamosi na itasababisha maafa makubwa.

Uwanja hautaweza kuchezeka mechi.

Tujiandae kwa hilo
Mvua hiyo hiyo ndiyo tunayoitaka sisi wanamnyama. Hivyo tuliza mshono
 
Mvua hiyo hiyo ndiyo tunayoitaka sisi wanamnyama. Hivyo tuliza mshono
Hii.mvua ni kubwa sana,ni mvua ya yanga,mvua ya simba kuzaa huwa ni ya manyunyu,na mda mpira unaochezwa ni mda wa majini ya yanga yapo active
 
Hii.mvua ni kubwa sana,ni mvua ya yanga,mvua ya simba kuzaa huwa ni ya manyunyu,na mda mpira unaochezwa ni mda wa majini ya yanga yapo active
Mvua yoooooote ni ya Simba. Unajua chura akinyeshewa mvua hukumbilia kujifocha ndani ya bwawa. Na hapo ndiyo mnyama huchukua ushindi kwa sababu tayari chura yumo ndani ya bwawa.
 
Watu wanacheza mvua na mabarafu ujerumani uko ije iwe mvua
 
Mvua yoooooote ni ya Simba. Unajua chura akinyeshewa mvua hukumbilia kujifocha ndani ya bwawa. Na hapo ndiyo mnyama huchukua ushindi kwa sababu tayari chura yumo ndani ya bwawa.
Chura anapenda maji mzee
Ila simba hukimbia kukicha kucha zitaoza
 
Mechi lazima ichezwe, msileta maujinga yenu hapa. Ipigwe hivyo hivyo tumalizane kabisa huu mwaka 2023.
 
Thibitisha kama mungu ndiye mpangaji wa yote cc Kiranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…