Maoni: Mechi ya Simba na Yanga huenda ikaghairishwa kwa sababu ya mvua

Muda ni hakimu wa kweli yeye huwa anahukumu kwa haki yote.

Kwanini tusisubiri muda utuambie wenyewe????

Mambo ya unajimu ,ubashiri,kamali nk imanj yangu inakataza sana.

Ni dhambi


Hatimaye Muda umetoa majibu.......

Muwe mnaficha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…