Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Huna lolote zaidi ya ARGUMENTUM AD HOMINEM tu....

Wakati baba yako anakupeleka kuchomwa CHANJO DHIDI YA "NDUI" ilikuwa imepitia miaka mingapi ya majaribio hapa TANZANIA ?!!!

TULIATHIRIKA nayo?!! Tupe majibu ya kitafiti kuwa chanjo hiyo imeathiri vizazi vyetu....

Kweli UJINGA MZIGO....

Mnatembelewa na mapepo vichwani na mwishowe mnakuwa na HALLUCINATIONS ,DELUSIONS na OBSESSIVE COMPULSIVE DISORDERS 🤣🤣Kweli MAJINUNI weye......
 
Hivi we una utingio wa ubongo au nini 🤔😡!? Chanjo ya ndui ilikuwa ni chanjo, ' attenuated viruses'! Hiki kituko kinachoitwa chanjo ya covid-19 siyo chanjo ni experimental human genetic engineering ww popoma 😂 khaa!
Hivyo hatukupata madhara kwa kuwa usalama wote ulizingatiwa na ulifanywa na wanasayansi wenyewe kwa lengo moja tu la kutokomeza ndui! Hiki cha sasa kina malengo mengine kabisa na hayana uhusiano na kutokomeza covid-19, ndio maana pamoja na kuchanjwa unadikia repoti za vifo vya covid-19 kwa haohao waliochanjwa! Na kimsingi, hiyo siyo chanjo😠!
 
Absolutely....he is a deluded chap...
Sayansi haina ubabaishaji ubabaishaji, atakwama tu sehemu. Atakausha malimao yote mashambani, atakula magunia yote ya tangawizi na kujibanika kwenye mvuke kama kitoweo, lakini hawezi kutibu au kuzuia Covid 19. Is this a rocket science?
 
Ngoja nisiendelee kupotesa muda na chizi ww! Umeambiwa chanjo ya ndui ilikuwa M-RNA kama ilivyo hii ya covid-19! Nenda kapokee ushoga na tabia zingine kwenye chanjo uchwara hiyo ili akili zikukae😠!
 
Conspiracy theories tupu hobobo weee 🤣🤣

Yaani ya ndui walikuwa wataalamu ,hii ni "mashetani" 🤣🤣Kweli huna ujualo zaidi ya HISIA TU.....

Unakula processed foods kila uchao ,unatumia vilivyotengenezwa nje kila uchao....Leo iwe chanjo mbaya ya kutaka kuwamaliza WAAFRIKA Khaaaa kweli SIASA ZA KIHAYAWANI hizo 🤣🤣
 
Ngoja nisiendelee kupotesa muda na chizi ww! Umeambiwa chanjo ya ndui ilikuwa M-RNA kama ilivyo hii ya covid-19! Nenda kapokee ushoga na tabia zingine kwenye chanjo uchwara hiyo ili akili zikukae😠!
"Udheha ulikuwepo....na upo humu mitaani....umesababishwa na chanjo dhidi ya CORONA eee?!!

Wewe huna ujualo zaidi ya KUDEMKIA akili zako nusu na DELUSIONS zilizokujaa tu 🤣🤣
 
Pimbi kweli ww! Hukuna tafiti za muda mrefu zilizofanya kupinga au kuafiki hayo! Na hapo ndio kwenye shida! Cha ajabu weye unaejitiatia kuwa mwanadayansi mbobezi huoni shida hapo! Mi mtu kama nyie ni mabogas mnaotukanisha wanasayansi wanaojitambua!
Huwezi thibitisha au kukanusha kuwa madhara ya muda mrefu yatokanayo na vichanjo uchwara hivyo vya covid-19 inaweza kubadirisha vina7!
Hapo ndio penye shida, hakuna utafiti uliofanywa kuhakiki hayo!
Hivyo ndivyo wanasayansi wanaojitambua hu'argue'! Ww unayekariri bila kuelewa unapokea tu utafikiri umeshikiwa akili...aibu yako mfyuuuuuu 😡!
 
Ww endelea kukariri maneno ya kiingereza ukiamini ndio usomi wenyewe! Nenda kadungwe tu panya1000!
Ukienda kwa mganga wa kienyeji wala huulizi FORMULA ya dawa akupazo ukiwa na tatizo 🤣🤣ila hizo chanjo Leo ndio zimekuwa PANYA 1000 ha ha ha

Mbona hushangai NGURUWE kuwahi kutumika kusaidia INSULIN kwa wagonjwa wa KISUKARI ?!!!

Leo dawa nyingi tu zinatokana na GENETIC ENGINEERING...ila unademkia hizo ASTRAZENECA TU....wewe una mapepo 🤣🤣
 
"Udheha ulikuwepo....na upo humu mitaani....umesababishwa na chanjo dhidi ya CORONA eee?!!

Wewe huna ujualo zaidi ya KUDEMKIA akili zako nusu na DELUSIONS zilizokujaa tu 🤣🤣
We pungu kweli! Hebu pangua hoja kwa hoja siyo kuleta mipasho ya kike hapa mfyuuuuuu 😡!
 
Usilolijua ni kama usiku wa kiza! Hiyo ya nguruwe haina uhusiano wa moja kwa moja na hii ya covid-19! M-RNA hii ww mbumbumbu 😜!
 
Wanasayansi wanaARGUE kila uchao....hivi baadhi ya vyakula tunavyokula una uhakika havina Madhara ya muda mrefu?!!!

Kwa hiyo baadhi ya dawa za HOSPITALI haziwezi Kusababisha Madhara ya muda mrefu hata kama zimethibitika kuponesha maradhi ?!!

Kwa hiyo hizi dawa za kienyeji TUTUMIAZO zimethibitika haziwezi nazo Kusababisha Madhara ya muda mrefu kufikia kufanya kazi katika MESSENGER RIBONUCLEIC ACID unayopigia kelele na "miayo" hapa ?!!!
 
Binafsi ninaisubiria hiyo CHANJO....wewe usichanjwe kwani utaishi milele 🤣🤣🤣
Ww panya1000 kachanjwe, binadamu tunasibiri mpaka ipite kwa panya1000, kisha nguruwe na nyani! Isipowabadirisha kuwa vituko vingine, tutasubiri ipite kwanza kwa sokwe! Na ikionekana haina madhara, tutasubiri kikundi kidogo cha binadamu wajaribiwe tuwafuatilie na vizazi vyao! Tukiona shwari, ndipo tutsjitikeza baada ya miaka 🤜🤛! Tunataka tuendelee kuishi kama binadamu! Siyo nyumbu ndani ya umbo la binadamu 😜!
 
Haya yalikuwa maono ya nabii wa Mungu kwa watz na waafrica ulimwenguni kote! Mwenye sikio na askie🙏!
 
Unajua unakuwa kama ni mgeni wa HISTORIA YA DUNIA NA MAGONJWA YA MLIPUKO...

Mfano TB ilipoanza ulaya unafahamu ilimaliza wazungu wangapi ?!! Ama nayo ilitengenezwa na wenye ILLICIT purposes ?!! 🤣🤣🤣

Kwa taarifa yako magonjwa yote ya mlipuko huwa yanatafutiwa suluhisho kwa HATUA HIZIHIZI mpaka kufikia mwisho....na ujue ya kwamba mpaka wanapokuwa wanaidhinisha matumizi ya chanjo basi kuna asilimia nyingi mno huwa ni SAFE....

Mpaka Sasa una takwimu ya vifo vya kumwaga kwa waliopewa chanjo?!!

CONSPIRACY THEORIES zimekujaa wewe mtu...🤣
 
Hiyo mifano yako yote uliyotoa ipo nje ya mantiki (out of context)! Dawa zinazotumika ambazo ni synthetic zinapitia hatua zote muhimu ili kupunguza uwezekano wa kuleta madhara ya muda mrefu! Huwa kuna muda mrefu unapita zikifanyiwa majaribio kabla ya kuanza kutumika kwa binadamu! Ni miaka kadhaa hupika kabla haijafikia level ya kutumiwa na binadamu! Dawa za asili au mitishamba na matunda kama zijielezavyo ni za asili na hivyo madhara yake hayawezi kuwa ya kutisha sana maana mara nyingi ni sehemu ya vyakula vyetu! Hizo chanjo uchwara za covid-19 utenge ezaji wake sio wa asili! Na hazijapitia hatua zote muhimu za kiusalama😡! Na hivyo kuwa na uwezekano wa kuleta madhara yasiyofikirika☹️!
 

Toa ujinga wako hapa. Hakuna chanjo inazuia covid mpaka sasa hivi. Hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…