Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mimi namshauri aangalie vizuri upande wa sukuma gang, hawampendi. Fukuza wote aanze system yake upya!
 
Subiri mkuu soon zitamwagwa pale mnazi mmoja ukajichotee!
 
Mbona wakati John Magufuli akiwa hai mlikuwa mnasema kila kitu kipo sawa, leo nini kimeongezeka hadi mnalialia
 
Maumivu aliyoa ha Mwendazake ni makubwa sana kwa wananchi, maumivu, manyanyaso na uonevu ulikuwa mkubwa sana, Kama mama ataangalia upande wa Kodi umiza zio dokewe, upandishaji madaraja na mishahara kwa wafanyakazi na masoko ya uhakika ya wakulima tutapiga hatua kubwa.Kwa Mwendazake tulipigwa mchana kweupe
 
Hali ngumu wapi? Mmesema anatoa ziko wapi sasa? Oh mama mkombozi, mara mama muelewa, oh Mungu kasikia maombiiiii😏😏😏😏😏
 
Tatizo wa TZ ni wavivu sana. Wanapenda mno mteremko. Sasa unataka Mama yetu aanze kugawa hela mitaani? Hilo aliliweza Ghadafi peke yake, maana alikuwa na hela hata hajui azifanyie nini!!
 
July wap na anasema uchumi umeshuka?? Tulifarijika jiwe hayupo mambo yata change haraka kumbe effect ni kuubwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mzee wa watu mlimchukia bure tu kwa kuaminishwa.hali ni ileile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…