Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Tunahitaji viongozi wazalendo kama MagufuliUtaolewa na majini shauri yako
Uongozi ni mfano, ukikaa ofisini tu kupitia mafile hata wa chini yako watafanya vivyo hivyo, na kinyume chake pia. Rais kutoka mtaani na kukagua kazi haimaanishi Waziri nae kazuiwa kufanya hivyo. Kila mmoja anajua mipaka yake..Binafsi nafurahia sana utawala wa Rais wetu mpendwa SAMIA suluhu hasani, humuoni sana mitaani, waziri mkuu anafanya kwa niaba ya Rais
Hatembei na maburungutu ya hela na kugawa hovyo kupitia mlango wa juu wa gari..
Hakuna hofu sana hata kama kuna ma pro JPM bado kwasababu katiba ya Jamhuri imempa nguvu nyingi sana Rais na ile ya CCM imempa nguvu mno Mwenyekiti wao. Bahati nzuri Rais ndiye Mwenyekiti wa ccm pia.Habari wanabodi..!
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu .Jana kwenye mkutano wa viongozi wa CCM na waandishi wa habari moja ya swali lililoulizwa na mwandishi wa habari ni kwamba,je kama CCM wapo pamoja
Uzalendo usio na akili ni janga kwa taifaTunahitaji viongozi wazalendo kama Magufuli
Huyo ndugu yako hajafa tu na hiyo corona? Kwa sababu toka mwaka jana unamtangaza kila mara!! Nasikia umepata tenda ya chanjo kama wakala ni kweli mkuu??Mama naye sometimes anademka!
Unawavalisha watu barakoa na kujifanya kuunda tume ya wataalamu wakushauri cha kufanya kwenye korona halafu hapohapo unaruhusu Mwenge wa uhuru utakaokusanya mamilioni ya watu?...
Mwendazake alistopisha mbio za Mwenge kisa Covid 19 japo hakuipa kipaumbele hapo baadae hiyo UVIKO, Ila Mama kaipa kapaumbele sana UVIKO ila chaajabu ameruhusu mbio za Mwenge ziendelee.Nyie moderator msiunganishe huu uzi.
1. Futa mwenge wa uhuru kwa mwaka 2021. Huwezi kusema unapambana na corona wakati huo unaruhusu mbio za mwenge. Kwa kawaida wakati wa mbio za mwenge kuna kuwa na mikusanyiko mikubwa inayoweza kuchochea maambukizi ya corona...
contradiction!Mwendazake alistopisha mbio za Mwenge kisa Covid 19 japo hakuipa kipaumbele hapo baadae hiyo UVIKO, Ila Mama kaipa kapaumbele sana UVIKO ila chaajabu ameruhusu mbio za Mwenge ziendelee.
Sijui
Zuieni kila kitu isipokua tu msifunge bar na pubsKamati haikuona umuhimu wakuzuia mikusanyiko?
Hili jambo in aibu kuruhusu mikusanyiko wakati kuna UVIKO no 3 tena Kali sana.
Mama atakuwa katonywa. Huo mwenge unamambo yake. Na haujawahi kutokimbizwa, JPM yeye akaamua kustopisha. Kila kitu kina miiko yake.Mwendazake alistopisha mbio za Mwenge kisa Covid 19 japo hakuipa kipaumbele hapo baadae hiyo UVIKO, Ila Mama kaipa kapaumbele sana UVIKO ila chaajabu ameruhusu mbio za Mwenge ziendelee.
Sijui
Sina taarifa kuhusu mikutano hiyo ya Chadema, point yangu ni kufuta mikusanyo aina yoyote ile.mbio za mwenge zifutwe,lakini mikutano ya chadema inayoendelea kaskazini ni sawa?
Imani za kijinga.Mama atakuwa katonywa. Huo mwenge unamambo yake. Na haujawahi kutokimbizwa, JPM yeye akaamua kustopisha. Kila kitu kina miiko yake.
Tambiko la toka uhuru. Mhhh!