Sina taarifa kuhusu mikutano hiyo ya Chadema, point yangu ni kufuta mikusanyo aina yoyote ile.
Magufuli alikuwa na akili kuliko marais na madikteta wote wa afrikaUzalendo usio na akili ni janga kwa taifa
Naunga mkono hoja,,Magufuli alikuwa na akili kuliko marais na madikteta wote wa afrika
Ni kweli kabisa lakini alikosa maarifaMagufuli alikuwa na akili kuliko marais na madikteta wote wa afrika
Wewe utakuwa unakunywa gongo,mimi naongelea mwenge wewe unaniletea habari za upekuzi.ni vema ungefanya upekuzi wa taarifa vizuri kwanza, so that you can present something clean
Ngoja ije ikutembelee hapo Namtumbo ndiyo utajua corona ipo.Hivi corona ipo dar tu? Mbona huku hata ma hospitalin sisikii hata ka umbea kama zamani?
Kwani yeye remot control anasemaje?
Mwenge ndio sehemu ya upigaji isiyohojiwa... katika mbio hizo mambo ya kishetani hufanywa... ulipaswa kufutwa kabisa...Mama naye sometimes anademka!
Unawavalisha watu barakoa na kujifanya kuunda tume ya wataalamu wakushauri cha kufanya kwenye korona halafu hapohapo unaruhusu Mwenge wa uhuru utakaokusanya mamilioni ya watu?...
maybe but alikosa maarifa.Magufuli alikuwa na akili kuliko marais na madikteta wote wa afrika
Sikatai ila najiuliza, kwa nini awali taarifa tulizipata hata kutoka mahospitalini mbona sasa hivi hakuna hata uvumi? January , feb March, taarifa tulizipata kutoka kwa watu baki, watumishi etc kwa nini sasa hivi kimya na unajua mbongo huwezi mzuia kusema kinachoendelea.Ngoja ije ikutembelee hapo Namtumbo ndiyo utajua corona ipo.
Mama anafanya hivi ili kuyahadaa mabeberu kuwa na yeye anacheza ngoma yaoMama naye sometimes anademka!
Unawavalisha watu barakoa na kujifanya kuunda tume ya wataalamu wakushauri cha kufanya kwenye korona halafu hapohapo unaruhusu Mwenge wa uhuru utakaokusanya mamilioni ya watu?
Mimi ninaye ndugu yangu anayeumwa Korona kwa sasa, Hii maana yake ni kuwa wimbi la tatu la huu ugonjwa huenda liko in the making, Kwa nini kipindi hiki unnecessary gatherings kama hizo za Mwenge wa uhuru zisizuiwe?, otherwise haya mabarakoa anayovaa ni usanii!
Samia kwenye ishu ya Korona ni bora akaamua, ama awe baridi au moto, siyo vuguvugu!, Akiwa vuguvugu ataonekana kituko!
Cha muhimu tuchukue tahadhari.Sikatai ila najiuliza, kwa nini awali taarifa tulizipata hata kutoka mahospitalini mbona sasa hivi hakuna hata uvumi? January , feb March, taarifa tulizipata kutoka kwa watu baki, watumishi etc kwa nini sasa hivi kimya na unajua mbongo huwezi mzuia kusema kinachoendelea.
Huu ugonjwa upo ila niwakutengeneza.
Mimi nilishaga goma kuchangia mwenge kama serikali haina hela waachane nao kwanini tuchangishane mimi siuhitaji waliouleta ndo watoe pesaNyie moderator msiunganishe huu uzi.
1. Futa mwenge wa uhuru kwa mwaka 2021. Huwezi kusema unapambana na corona wakati huo unaruhusu mbio za mwenge. Kwa kawaida wakati wa mbio za mwenge kuna kuwa na mikusanyiko mikubwa inayoweza kuchochea maambukizi ya corona.
2. Piga marufuku tabia inayoendelea kwa sasa ya kuwachangisha watumishi fedha kwa ajili ya mbio za mwenge. Kumbukua watumishi hao hawajaognzewa mishahara kwa miaka 6,hivyo siyo sawa kabisa kuwaomba michango kuchangia mbioa za mwenge. Na hata kama wangekuwa wameongezewa mishahara bado siyo ustaarabu kuchangisha fedha toka kwa watumishi kwa ajili ya mwenge.
Ni hayo kwa leo.
Upo sahihi.Mimi nilishaga goma kuchangia mwenge kama serikali haina hela waachane nao kwanini tuchangishane mimi siuhitaji waliouleta ndo watoe pesa
Imani za kiji
Nikusaidie kidogo kudharau utamaduni wa kiafrica ni umbumbumbu! Unajua Mila, na desturi vipo ktk jamii yoyote ile. Angalia nchi zote zilizopiga hatua ya maendeleo hazikuwahi kukana mila na desturi zao. Iwe China, India, Ulaya na hata America.Imani za kijinga.
Narudia kusema, kuabudu mwenge ni ujinga. Mila za mtu mweusi ni za kijinga ndiyo maana hatupigi hatua yoyote kwenye maendeleo.Nikusaidie kidogo kudharau utamaduni wa kiafrica ni umbumbumbu! Unajua Mila, na desturi vipo ktk jamii yoyote ile. Angalia nchi zote zilizopiga hatua ya maendeleo hazikuwahi kukana mila na desturi zao. Iwe China, India, Ulaya na hata America.
Mtu mweusi anadhani kukana mila au utamaduni wake ndo ataonekana mjanja au wa kisasa. Ulaya wanafanya sana mambo ya Ramli. Mbona hatusemi ni ujinga?
Alikosa washauri wazuri tuNi kweli kabisa lakini alikosa maarifa