Taifa kuwa na tamaduni siyo kosa,tatizo ni kuenzi tamaduni za kijinga. Yaani wewe unaona mbio za mwenge ndiyo utamaduni wa kuuenzi.Alafu hao wazungu,wachina unaowatolea mfano ya kwamba wanaenzi tamaduni zao,huwezi kuta wanaenzi vitu vya kipuuzi.Mzungu,mchina siku zote wanaenzi sayansi,na ndicho kilicholeta mapinduzi kwenye mataifa yao.
Naona huwajui vizuri hao wachina na wazungu. Hujui tamaduni zao. Hujui mila zao mbali na sayansi unayoisema. Hivi unajua tamaduni zetu walikujazeni kuwa ni upuuzi.
Hivi unajua kuna mwenge wa Olympic ambao hao hao wazungu unao waona wa maana uzungusha mwenge huo duniani.
Unajua Ulaya nguvu na imani za kishirikina zipo. Tena zina nguvu. Na wanamchukia Mungu wazi wazi.
Narafiki yangu mmoja. Uwa anapenda kuja kupumzika kanisani. Ila cha kushangaza uwatukana matusi wachungaji na wahumini. Katika kutaka kujua kwa nini, ndipo alinieleza mengi. Alisema yeye ni mchawi na wanamtandao mkubwa duniani wa kishirikina. Alinitajia hata baadhi ya wachungaji wakubwa na viongozi ktk serikali walio ktk imani za kishirikina. Alinishawishi kujiunga. Nilimkatalia! Kwa muda wa miaka mitano alikuwa ananishawishi. Watu umuogopa. Na katika hyo nchi "iliyopo Ulaya" na nchi ilopiga hatua kubwa ktk sayansi duniani.
Watu wengi wanaamini kuabudu na kuongea na mizimu, watu walokufa.
Kuna mkasa ambao niliushuhudia, ila siwezi eleza hapa. Si Ulaya tu hao hao unaosema wanasayansi kuna mgodi mkubwa hapo Tanzania. Uwa kila mwaka wanaita waganga kutoka Nigeria kuja kufanya matambiko.
Romania kwa Ulaya ni moja ya nchi wanao amini nguvu za uchawi. Na kuna waganga wanao pata fedha kwa utoaji wa kinga, biashara na mapenzi.
Huyu mzungu katika Hii nchi napoishi amekiri kuuwa kichawi watu wengi na hata wachungaji walioenda kinyume na matakwa.
Uzuri nimekuwa na girlfriend wa kichina huyu alinifundifisha mambo mengi mia na desturi za kichina. Uchawi ni tamaduni za kichina. Na ufanya kama sayansi.
Mfano miaka ya themanini wachina walijenga daraja la Kirumi huko mkoani Mara. Daraja hili lilisumbua sana.
Wachina wakaaga wakaondoka kwenda kwao , baada ya muda walirudi na kilichoendelea na aina ya ujenzi ilijaa uchawi. Na walijenga usiku tu. Wakazi wa huko wanajua nn kilitokea.
Wahindi ndo usiseme kwa uchawi na ushirikina. Natumai unawajua.
Niishie tu hapa. Ni mengi. Hii ni kuonesha unachokitukana hao hao wanasayansi wanakitumia.