Boss, vp mzee naona PM hujibu kabisaHata nchi ziliendelea na kustaarabika wanawabana wafanyabiashara sio kuwabembeleza. Hakuna mfanyabiashara wa kiafrika atakuwa proud kulipa kodi kwa hiyari never. Kujifanya mwema na mjanja wa mjini ...ni swala la muda tu majibu yapo mkononi.
Mafikiri wengine tunatazama mambo kwa kuchukia mtu badala ya ihalisia.Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3. Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4. Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5. Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7. Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8. Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
Sabaya's mistress (hawara) katika ubora wako.Mama Samia wengi wa wafuasi wa mafisadi na wapiga dili walifurahia ulipokamata usukani wa kuitawala hii nchi kama mkuu wa nchi...
Ana miaka minne 2Tulia we mskuma,,..tulieni wasukuma sindano iingie vizuri..
Zama zenu zishapita
Na mama yupo Sana utaki Hama nchi.