Kwenye taarifa ya uelekeo wa bajeti ya mwaka huu iliyosomwa bungeni mwezi Machi kama sikosei, wakati bado JPM akiwa ni Rais, Waziri wa Fedha wa wakati huo (Philipo Mpango) aligusia jambo hili! Ya kwamba kuna bilioni kadhaa zitatengwa mwaka huu kwa ajili ya kupandisha vyeo (madaraja) watumishi wa umma.Magufuli alisema atapandisha salary siku anatoka madarakani na hapa tuna assume kama angekua mkweli maana alikua ana historia ya kusema uongo.
Hata misingi ya uchumi imara na kuhakikisha serikali inakuwa na hela za kulipa ni jitihada za miaka mitano za utawala wa JPM kupitia nidhamu ya hali ya juu kwenye mapato na matumizi ya pesa za umma.Kwenye taarifa ya uelekeo wa bajeti ya mwaka huu iliyosomwa bungeni mwezi Machi kama sikosei, wakati bado JPM akiwa ni Rais, Waziri wa Fedha wa wakati huo (Philipo Mpango) aligusia jambo hili! Ya kwamba kuna bilioni kadhaa zitatengwa mwaka huu kwa ajili ya kupandisha vyeo (madaraja) watumishi wa umma.
Hivyo siamini kama haya yote yameletwa na Rais Mpya ndani ya huu muda mfupi. Labda ile ishu ya kuondoa zile riba za Bodi ya Mikopo, nakubali ni huyu mama ndiye aliyezitoa.
Kwa kilichowatokea kwa miaka hiyo yote, iwe fundisho kwenu pia. Tukikosea kuchagua viongozi au tujiendekeza unafiki wa kuwapamba viongozo hata wanapokosea, majuto hurudi kwetu.Kwa niaba ya watumishi wote tunakushukuru sana. Ni miaka name sasa watumishi waliishi bila matumaini. Tunaomba pia mama na wenzetu ambao hawajapata ajira nao uwafikirie hata kwa awamu awamu hapo huwezi ajiri wote. Watu wote hawawezi kujiajiri mana mitaji ni tatizo.
Mungu akubariki sana.
Asingeweza.Alikuwa mvuta bangi.😝😝😝😝Mkuu, pongezi za nini sasa! Hata magufuli angebaki hai mpaka leo, bado angetupandisha tu. Maana haki ya mtu inacheleweshwa tu! Ila mwisho wa siku ni lazima ipatikane.
By the way, siyo watumishi wote wenye sifa wamepandishwa mwezi huu. Sasa huoni haujatutendea haki sisi watumishi wenzako ambao tumepokea mshahara ule ule wa miaka yote!! Maana umesema watumishi wote tunampongeza!!
Ila mlikuwa hampendi jiwe akiwa live?Urais siyo usiri siri na wala siyo uchawi. Mwache awe mtu wa watu na awahutubie watu
Jiwe alikuwa anajitukuza halafu wananchi anatufokea.Ila mlikuwa hampendi jiwe akiwa live?
Ha ha hahah hahahahJiwe alikuwa anajitukuza halafu wananchi anatufokea.
Yote kwa yote ameruhusu. Na ndiyo maana hiyo tarehe moja inawezekana hata kukusanyika.FANYA YOTE ILA TAREHE MOJA TUNAOMBA UTU-SUPPORT KATIBA MPYA.
Malalamiko Fc katika ubora wenuKwanza mimi sio mfuasi wa chama chako Cha CCM na ninaomba usiku na mchana chama chako kianguke.
Lakini hii hainifangi nisipongeze pale unapofanya vizuri, kwanza shukrani kwa mazuri yote unayofanya japo najua ni wajibu wako..
Kwani zamani mlikuwa hamkusanyiki? Mbona 2019 mlifanya chaguzi zenu za ndani nzima?Yote kwa yote ameruhusu. Na ndiyo maana hiyo tarehe moja inawezekana hata kukusanyika.
Ingekuwa enzi za mwendazake. Ungesikia kamanda Muroto anatoa kauli za kipigo cha mbwa koko, na anakusanya ving'ora na polisi anapitisha barabarani.
Hapana kila siku live anakuwa hana tofauti na mwendazake, live live live live live aaahhhUrais siyo usiri siri na wala siyo uchawi. Mwache awe mtu wa watu na awahutubie watu
Jana ilikuwa jpiliMwongo wewe mbona jana hakuwa live!!!
Halafu huyu mumzoee tu tunae eti mpaka 2035
Mwacheni Madam afanye yake anafunika AWAMU zote
Huu ni ufagio eti
Safi, katiba mpya ni lazimaYote kwa yote ameruhusu. Na ndiyo maana hiyo tarehe moja inawezekana hata kukusanyika.
Ingekuwa enzi za mwendazake. Ungesikia kamanda Muroto anatoa kauli za kipigo cha mbwa koko, na anakusanya ving'ora na polisi anapitisha barabarani.
Afanye kazi yake ila KATIBA MPYA NI LAZIMAHivi ninyi wapumbafu mnatakia nini mama yetu. Hamkosi Sasa Babu mnagubu Sana. Muache mama achape kazi
Nakubaliana na weweSafi, katiba mpya ni lazima
Katiba sio hisani