Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mmakunduchi anajikwamisha yeye mwenyewe, kwa sababu hatoshi-uwezo mdogo, na kichwa chake kiko hivyo-asipambane na nuture anaweza kuumwa; angejiuzuru akabaki na heshima, CCM wakapendekeza mtu mwingine
Huko ni kujitia upofu, mbona kafanya kazi hata kumzidi mtangulizi wake, mama ana uwezo mkubwa Sana Tena itachukua muda mrefu Sana kumpata Rais mwenye uwezo Kama wa mama pale atakapo kuwa ametoka madarakani.

Ebu muacheni mama achape kazi.
 
Power power
 
Hadi sasa hongera sana,

Ila angalia wamachinga umetuondoa sisi ila umeacha malori kariakoo ambayo ni shida kuliko sisi.

Barabara zote mpya zinakufa ndani ya muda mfupi tu kariakoo.

Huu ni ufisadi na uhujumu uchumi,

Eti wanasema malori ni ya wakubwa hayawezi ondoka kariakoo hata yakiharibu barabara basi mujue wamachinga wanawasubiri kwenye boksi
 
Utashi wa raisi uko mdogo pia uwezo wa kujieleza ni mdogo pia udini unamtesa pia uzanzibari unamtesa pia

Kingine anapenda starehe pia anapenda sifa
.hawezi kujenga hoja nadhani MUNGU AMETUACHA TANZANIA
 
Namfuatilia Rais Samia anafaidi matunda ya Awamu ya Tano (Yeye akiwa Makamu). Kuna viwanda vingi sana vinazinduliwa huko Pwani na Rais, Huu uwekezaji tuipe Kongole awamu ya Tano.

Kuna watu hawakujua huu uwekezaji ila sasa wanaona.

Pongezi kwa awamu ya Tano.

Kimsingi Rais anatakiwa kufaidi matunda mda huo huo asichoke kuyafanyia kazi mapungufu yaliyochwa bila kulalamika.

Kilala kheri Rais Samia, Ukifanikisha Maji ama umeme tunafurahi sote.
 
Hujasikia leo ikisemwa kiwanda cha leo ni matokeo ya ziara kule Misri? Hujamsikia Makala akimwomba mama aongeze zaidi safari za nje ili wawekezaji zaidi waje?

Hivyo basi, ni matunda ya ziara za awamu ya sita na siyo kujifungia kwa awamu ya tano.
 
Hujasikia leo ikisemwa kiwanda cha leo ni matokeo ya ziara kule Misri? Hujamsikia Makala akimwomba mama aongeze zaidi safari za nje ili wawekezaji zaidi waje?

Hivyo basi, ni matunda ya ziara za awamu ya sita na siyo kujifungua kwa awamu ya tano.
Misiri kaenda Juzi kiwanda kinaota tu kama mchicha?. Achana na wapambe ndugu yangu.
 
Nitabaki na Nyerere daima huyu ndio anastahili sifa zote.. Viwanda alivyojenga vilikuwa mali ya watanzania wote kwa asilimia 100, hivi vilivyofuatia vyote ni vya mabepari na wanyonyaji na serikali inaambulia makapi na kuzeeshwa kwa nguvu kazi ya Taifa
In fact viwanda hivi vya sasa ni bonge la uhujumu uchumi kwa baraka za wenye mamlaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…