Marais wakiwa Waislamu kunakuwa na utulivu sana, sijui kuna siri gani hapoJapo nilipenda mno mno mno mno rais kutoka kanda ya ziwa, lakinii marais waisilamu nitaendelea kuwakubali. Hususani uyu mama anafaiti sana bandugu
Awamu ya tano hatukuwa na Rais, tulikuwa na mwenyekiti wa kitongojiNi bahati mbaya tu miaka mitano iliyopita nchi haikuwa na rais hata nchi za ulimwengu wa kwanza walikuwa wanaulizana kwamba hivi tanzania kweli Kuna rais?
Angalia Sasa hivi misaada inavyomiminika na wawekezaji kuja kwa kasi na ajira kupanuka kama mwanga wa radi kisa tu tuna raisi.
Hawana choyo na ukatili, Sasa yule aliyepita watanzania wakaanza kuokotwa baharini wamefungiwa kwenye virobamarais wakiwa Waislamu kunakuwa na utulivu sana
Hakuna muwekezaji Rwanda utajiri wa Rwanda Ni wizi wa dhahabu kutoka Congo. Ndo Mana jk alimwambia ukweli akapanic na kupagawaNimejibu hija yangu ya hovyo hovyo uliyosema eti wawekezaji wanakuja sehemu ina demokrasia, nimekuuliza Rwanda ina demokrasia, mbona wawekezaji wamejaa Rwanda? Jibu hilo swali.
Haikua na Rais, ilikua na mama yakoNi bahati mbaya tu miaka mitano iliyopita nchi haikuwa na rais hata nchi za ulimwengu wa kwanza walikuwa wanaulizana kwamba hivi tanzania kweli Kuna rais?
Angalia Sasa hivi misaada inavyomiminika na wawekezaji kuja kwa kasi na ajira kupanuka kama mwanga wa radi kisa tu tuna raisi.
marais wakiwa Waislamu kunakuwa na utulivu sana
Haya mtoa mada mpumbavu mwenzanko huyu kaeni chini mjadiliane ujinga maana vichwa vyenu wote vina funza
Magufuri alikuwa Rais Bora, Africa, alikuwa Siyo omba Omba alitegea vyetu. Vingine vyote ni chuki tu.
Uwekezaji uwe wa tija kwa nchi kunufaika kwa ajira na upatikanaji wa bidhaa kwa bei nafuu na pia serikali kupata kodi!! Sio uwekezaji ambapo hamna faida kwa nchi kwavile faida dote ipatikanyo inapelekwa nje ya nchi na ajira kuwa duni kwani wawekezaji wanapewa vibali holela kuleta wafanya kazi toka kwao!! Masharti ya uwekezaji yasiiumize nchi na kuwapendelea wawekezaji tu huo utakuwa ujinga!!Kipi kizuri kuwa na wawekezaji au kuwafukuza
Kama hauna tija Basi solution ni kutimulia mbali mradi wewe unashishwa na serikali huna shida wengine wakifa na njaa kwa kukosa ajira au hata wakijiajiri mzunguko wa pesa umekata we hijali ilimradi umeweka sifa kuwa we Ni mbabe. Nimegundua kuwa mitanzania haina akiri Ni mibinafsiUwekezaji uwe wa tija kwa nchi kunufaika kwa ajira na upatikanaji wa bidhaa kwa bei nafuu na pia serikali kupata kodi!! Sio uwekezaji ambapo hamna faida kwa nchi kwavile faida dote ipatikanyo inapelekwa nje ya nchi na ajira kuwa duni kwani wawekezaji wanapewa vibali holela kuleta wafanya kazi toka kwao!! Masharti ya uwekezaji yasiiumize nchi na kuwapendelea wawekezaji tu huo utakuwa ujinga!!
Kwenye kuitokomeza hiyo dhana hapo ndipo akili kubwa inahitajika siyo kupanda majukwaani na kufokafoka tu.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Kama hauna tija Basi solution ni kutimulia mbali mradi wewe unashishwa na serikali huna shida wengine wakifa na njaa kwa kukosa ajira au hata wakijiajiri mzunguko wa pesa umekata we hijali ilimradi umeweka sifa kuwa we Ni mbabe. Nimegundua kuwa mitanzania haina akiri Ni mibinafsi
Botlra ujira mdogo kuliko kutokuwa na ujira kabisa Kama jpm alivyowafanya watanzania. Miaka mitano yote no ajira wakati mwenzake jk aliajiri kila mwaka graduates wakapungua Sana mtaani. Jpm akawarundika mpaka Sasa hivi hawawezi Tena kuwaajiri Mana wameshakuwa wengi kisa tu jpm hakujari kanbisaAjira gani wanawafanyisha kazi watu na kuwapa ujira usiotosha kulisha familia hata wiki mbili wewe bwege ndio unaita ajira!! Hizo sio ajira ni utumwa./ unyonyaji!
Hata aliyeandika anajua ukweli tupu kuwa jamaa alikuwa ni tatizo kubwa snBotlra ujira mdogo kuliko kutokuwa na ujira kabisa Kama jpm alivyowafanya watanzania. Miaka mitano yote no ajira wakati mwenzake jk aliajiri kila mwaka graduates wakapungua Sana mtaani. Jpm akawarundika mpaka Sasa hivi hawawezi Tena kuwaajiri Mana wameshakuwa wengi kisa tu jpm hakujari kanbisa
Kilimo nacho akaua. Biashara akaua kwa hiyo hakukuwa na pa kutokea ikabaki vilio kila kona