Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana

Nawatakia Dominica Njema 😄
Rais mwenyewe haipendi nchi anayoingoza. Upendo wake upo zaidi viisiwani na uarabuni. Rasilimali muhimu zote anawakabidhi wajomba. Hata wewe unajua ukweli sema umeweka maslahi binafsi, ya CCM mbele ya maslahi ya Taifa.
 
Rais mwenyewe haipendi nchi anayoingoza. Upendo wake upo zaidi viisiwani na uarabuni. Rasilimali muhimu zote anawakabidhi wajomba. Hata wewe unajua ukweli sema umeweka maslahi binafsi, ya CCM mbele ya maslahi ya Taifa.
CCM ni kundi tu la binadam

Hoja yangu ni Uzalendo kwa Nchi
 
Naipenda nchi yangu ila rais hata akitokomea moja kwa moja kwenye safari zake na akabaki hukohuko sitapungukiwa na kitu
 
CCM ni kundi tu la binadam

Hoja yangu ni Uzalendo kwa Nchi
Rais, serikali inapendwa inapowapenda wananchi wake na kutumia kodi zao kwa mambo muhimu. Huduma za afya, maji, miundombinu, elimu, haki za ardhi kuheshimiwa, rasilimali za nchi kulindwa, kuondoa ufisadi, rushwa, kuteua wa sahihi kutuongoza. Inahitajika rais mwenye uchungu na rasilimali za nchi. Rais wa Tanzania yeye hana uchungu wowote na rasilimali za nchi au matatizo yao.

Wewe Yohana mbatizaji unaweza kuwapenda wezi, majambazi, mafisadi, wala rushwa?
 
Hata Rais ni Taasisi
Kwa jina.
Sababu head of the institution anafanya maamuzi hata kama taasisi ikimshauri kwa maslahi mapana ya Taifa.

Kukariri kuwa ni taasisi nakushauri kasome Katiba. Hatuchagui TAASISI tunampigia MTU MMOJA kura kuongoza Tanzania. Kinachoendelea hapo ni Mungu ajuaye
 
Sawa mkuu tuendelee kuwa wazalendo katika taifa letu
 
Mmh
 
Mijadala mingi huko nyuma imeibuka kuhusu mtazaomo wa wasio waislam kwa waislam

Baadhi yao wakiamini wanawake wa kiislam wanakaa majumbani na wanaume wa kiislam hawawapi fursa pia waislam hawakusoma

Yote hayo hivi sasa yamezibwa mdomo.
Rais mwanamke tena muislam

Nakutakieni J2 njema. Mod kama mnavyaocha nyuzi nyengine na hii iacheni
Demokrasia sio kuandamana hata kusema pia demokrasia. Uhuru hauna mipaka- mwanahalisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…