johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ukiogopa matusi Duniani patakuwa Siyo mahali salama kwakoUkitaka kutusiwa basi isifie sisem na setikal yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiogopa matusi Duniani patakuwa Siyo mahali salama kwakoUkitaka kutusiwa basi isifie sisem na setikal yake
Mimi ni mzalendoKumbe na wewe ni chawa?
Dhambi Ndio Unafiki mbaya zaidiUnafiki ni dhambi mbaya sana
na baleshi liitwe beleshiDhambi Ndio Unafiki mbaya zaidi
Kama mzalendo ni sawaMimi ni mzalendo
Rais mwenyewe haipendi nchi anayoingoza. Upendo wake upo zaidi viisiwani na uarabuni. Rasilimali muhimu zote anawakabidhi wajomba. Hata wewe unajua ukweli sema umeweka maslahi binafsi, ya CCM mbele ya maslahi ya Taifa.Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
CCM ni kundi tu la binadamRais mwenyewe haipendi nchi anayoingoza. Upendo wake upo zaidi viisiwani na uarabuni. Rasilimali muhimu zote anawakabidhi wajomba. Hata wewe unajua ukweli sema umeweka maslahi binafsi, ya CCM mbele ya maslahi ya Taifa.
Labda ni mwamvuli wa Rihanna!CCM ni Mwamvuli tu
Rais, serikali inapendwa inapowapenda wananchi wake na kutumia kodi zao kwa mambo muhimu. Huduma za afya, maji, miundombinu, elimu, haki za ardhi kuheshimiwa, rasilimali za nchi kulindwa, kuondoa ufisadi, rushwa, kuteua wa sahihi kutuongoza. Inahitajika rais mwenye uchungu na rasilimali za nchi. Rais wa Tanzania yeye hana uchungu wowote na rasilimali za nchi au matatizo yao.CCM ni kundi tu la binadam
Hoja yangu ni Uzalendo kwa Nchi
Anza na hao wenye serikali yao waanze kuipenda, wao sawa na wapishi wa hoteli wanapika lakini hawali!Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
Ni raia sina impactWewe binafsi huna walakini wowote?
Hata Rais ni TaasisiNi raia sina impact
Naongezea tu " Tena jinga na tapeli flan kabisa"Puuzi flan hivi
Kwa jina.Hata Rais ni Taasisi
MmhHongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo:
Kwanza, usiturudishe nyuma tena. Awamu ya tano imetuonyesha nini maana ya uhuru na kujitegemea. Tanzania haina mjomba wala shangazi huko nje. Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe. Jukumu lako ni kutupanga, kutuvuvia, kutushawishi na kutuonyesha kwa mfano wako wewe mwenyewe kwamba inawezekana, tunaweza, tusonge mbele.
Pili, Mzee Magufuli amefariki, lakini spirit yake inaishi. Ni askari aliyefia vitani akiwa mstari wa mbele, katika kupambania uhuru wetu na kujitegemea kwetu. Usije kufanya kosa kufanya mapungufu ya style ya Magufuli ya uongozi, iwe kigezo cha wewe kubadili uelekeo wa nchi yetu katika kujiamini na kuthubutu. Magufuli amefariki lakini kaacha alama na kaacha spirit. Wenye hiyo spirit wamo ndani ya chama tawala, vyama vya upinzani, serikalini, sekta binafsi, kwa wakulima na wafanyakazi. Hili ni jeshi kubwa sana, usicheze nalo.
Tatu, tutakusikiliza kwa umakini, tutakuangalia sana mienendo yako, tutatizama sana namna zako kama zinaturudisha nyuma au zinatupeleka mbele. Nisiseme sana katika hili, lakini itoshe tu kwamba spirit ya Mzee Magufuli inaishi. Tukiona tu dalili kwamba unakotupeleka siko hatutakuvumilia. Tushaonjeshwa uhuru hatutarudi tena kwenye utumwa. Tushaonjeshwa kujitegemea hatutarudi kwenye utegemezi tena.
Mwisho, Mungu akupe hekima ya kuongoza watu milioni 60 kwa akili na ujasiri. Ninaamini utatuvusha salama, karama ya uongozi unayo, itendee haki. Tegemea ushirikano wetu.
Pia soma: Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli