Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kama nawaona akina kobazi wakikatika balaa baada ya kufurahishwa na huu uzi huku wakipiga dufu kwa shangwe😁 adriz FaizaFoxy Malaria 2
 
Mtu kama wewe, tayari atakutosa na kukupiga mateke kwa kukosa shukrani tilivu.

Utasahauje, kwamba yeye ndiye "Amiri Mkuu" wa majeshi yote!

Shukrani zako atasema ni za kinafiki.

Kumbuka yeye ni muumini wa "Lugha za staha". Na wewe inaonyesha huna lugha hizo.
 
Je hizo sifa zinatolewa na nani, je zina uhalisi?
 
Hujui usemalo. Yeye ni kila kitu jua ya ardhi, kwenye ardhi, na chini ya ardhi. Hako kacheo ka mkuu sijui amiri jeshi si chochote wala lolote kwa vyeo nilivyotajwa kwa ufasaha mwanangu. Niheshimie japo kidogo au siyo?
 
Respect title “professor” , punguza mihemko ya kisiasa
Uprofessor unaoutetea wewe haumtoshi, ongezea na 'mtukufu' viede kwa pamoja kumuongezea credit ingawa navyo havitamtosha pia.

Tuanze na 'mama' kwa kuitamka mara tatu mfululizo, ndiyo zifuatie hizo title zingine, yaani mama, mama, mama dakitari professor mheshimiwa mtukufu Rais wetu mtoa maono na mzalendo wa kwanza wa nchi hii Tanzania.

Ingawa sifa zote hizo nazo hazimtoshi pia.
 
"kwanini Tanzania isiitwe Samia?"
---
Huwezi amini, nimesoma mara zaidi tatu, hii title?

BTW: Na log off JF kwa muda, For no reason!.
 
"kwanini Tanzania isiitwe Samia?"
---
Huwezi amini, nimesoma mara zaidi tatu, hii title?

BTW: Na log off JF kwa muda, For no reason!.
Kwanini nisiamini? Hata hivyo, ni jambo la kumshukuru mheshimiwa, mtukufu, mtume, nabii rais daktari field marshal, generali, askofu, al hajat, sheha, ulamaa, maulana, ustaadha, nk nk SSH.😀😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…