Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Namshukuru mheshimiwa mtukufu rais daktari profesa, al hajat, field marshal, jenerali, admiral, askofu, paroko, ustaadha, kadha, imama nk nk SSH kukujalia akilli nzuri kiasi cha kuyaona yote. hayo. Hata kama hatosheki, tuendelee kumuongezea vyeo. Sasa naongeza na RIP maana yake Reign in Politics kkkkk.
 
Pambafff Mobutu hakuwahi kuipa Congo jina lake binafsi japo aliibadili kuwa Zaire. Zaa mwanao umwite samia na ikikupendeza mshauri mzee wenu wa ukoo akane ukoo wenu mjiite Samia ukoo mzima.
 
Hii inchi sasa imejaa machoko, nyie mnarudisha nyuma kimaendeleo
 
Lazima angefurahi kwa vile yeye ndiye aliwapa kazi hiyo ya kuwabadilisha wanadamu kuwa wadudu. Hata hivyo, namshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa 'ubunifu' na miujiza hii itokanayo na maono yake ya mbali. kuelekea nyuma.
Nakubali kuelekea Nyuma.
 
Nadhani kwenye ToR zao, moja wapo ni hiyo-KUMSIFU, KUMTUKUZA, KUMPAMBA + KUONYESHA KWAMBA YU TAJIRI..
Ndege za Mama, SGR ya Mama, Goli la mama, Hela za Miradi ya Maji za Mama
 
Daktari proffesor?
 
Hivi chawa wakinenepa ndo hugeuka kua Yale makupe
 

Attachments

  • Amblyomma-variegatum-female-engorged.jpg
    157.7 KB · Views: 27
Dah, sawa.
 
Yaani nchi hii wee acha tu. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜œ
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Vijana ungeni mkono juhudi mpate pesa za kula mtakufa njaa na kubaki kulalamika ajira hakuna ,
Hii nchi ilipo fikia kwa sasa bila kuunga juhudi na kua mjanja mjanja kutoboa ni ngumu sanaaa.
๐Ÿ’šmitano tena CCM oyeeee ,samia oyeeee

Muonapo thread hii niingizeni kwenye pay roll ya uchawa humu Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ