Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Dola 19 tilioni Kama reserve halafu exchange rate 2600. Na wewe unakubali? Punguani.
 
Chema chajiuza kibaya chajitembeza.
 
Sasa madeni ya nini tena? Au hizo mlizokopa ndo mmeweka BoT?
 
UZI HUU USICHANGIWE CHOCHOTE CHOCHOTE UACHWE KAMA ULIVYO WASOMAJI PITENI TU msichangie chochote.
 
Pale mtu anapotaja hela nyingii alafu wewe hauna chochote... Inauma iyo.
 
Kwahiyo kuna Rais ambaye awamu yake hizo akiba zilizidiwa na mtangulizi wake?
Watumwa huwa wanalishwa ujinga,,,, hilo neno "REKODI" siku hizi linatumika kusambaza"PROPAGANDA" za kitoto..
Shughuli za serikali ni mambo ya kinyakati kwamba ni on-going process,,, na kila awamu haziwezi kulinganishwa kwasababu hata tarehe 17.03.2021 dollar 1 = 2326,, leo ni 2600..

Rekodi
peleka kwa wanariadha maana tokea Riadha ianzishwe they go through the same "shi.t" kilometers and meters every year around..
 
Kamilisheni SGR ya Makutupora to Isaka acheni porojo.
Huo mradi umesimama
 
Of course, na amevunja rekodi kwa kuteka, kuua watu na kuzuia uhuru wa kuabudu. Haijawahi tokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…