John John Msakuzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 296
- 103
Kwanini ipungue?Lita ya maziwa imepungua bei ili niweze kuyanywa na mimi?
Kwa nini isipungue?Kwanini ipungue?
Hivi huwezi kutoa mada bila kumsifia mwanasiasa?View attachment 3441698
==
Kuna kitu wengi hamkijui kwa Rais Samia, Hebu jiulizeni mpaka uzalishaji maziwa umeongezeka hadi Lita mpya 900,600,000 za maziwa. Mtu mwenye baraka akitawala kila kitu kinastawi kama hivi.
Uzalishaji wa jumla wa maziwa umeongezeka kutoka Lita 3,101,384,000 mwaka 2020 hadi 4,009,985,321 mwaka 2024|25, tofauti ya 908,601,321 sawa na ongezeko la asilimia 29. Ng’ombe wa asili na wa kisasa wamesaidia kufanikisha ongezeko hili kupitia mbegu bora, teknolojia mpya za ufugaji na lishe bora, hatua iliyoongeza tija, ubora wa maziwa, usalama wa chakula, kipato cha wakulima na thamani ya uchumi wa mifugo na wafugaji.
Uzito unapimwaje kwani mkuu?kilo ya nyama umesema au unataja uzito wa nyama.
kwa kilo ya nyama shingapiUzito unapimwaje kwani mkuu?
kipi bora upatikanaji au beikilo ya nyama umesema au unataja uzito wa nyama.
Hata hivyo huu sio sawaUchawa unatia kinyaa
View attachment 3441723
Chini ya Rais Samia, mifugo aina ya ng’ombe imeongezeka kutoka 33,928,391 mwaka 2020 hadi 39,241,375 mwaka 2025, sawa na ongezeko la ng’ombe 5,312,984 ambao ni asilimia 16,
Hii ni kutokana na sera za uboreshaji wa mbegu, huduma bora za mifugo ikiwemo chanjo za ruzuku, na upatikanaji wa malisho bora na ya uhakika, hatua iliyoongeza tija, kipato cha wafugaji na usalama wa nyama na chakula nchini.