Samia amefanikisha akina mama kupata ujauzito na kujifungua salama.View attachment 3441723
Chini ya Rais Samia, mifugo aina ya ng’ombe imeongezeka kutoka 33,928,391 mwaka 2020 hadi 39,241,375 mwaka 2025, sawa na ongezeko la ng’ombe 5,312,984 ambao ni asilimia 16,
Hii ni kutokana na sera za uboreshaji wa mbegu, huduma bora za mifugo ikiwemo chanjo za ruzuku, na upatikanaji wa malisho bora na ya uhakika, hatua iliyoongeza tija, kipato cha wafugaji na usalama wa nyama na chakula nchini.
Amekuwa mungu wenu.kuna vile tunatakiwa kumuheshimu Rais Samia kwa kazi hii kubwa
Amekuwa mungu wenu.kuna vile tunatakiwa kumuheshimu Rais Samia kwa kazi hii kubwa
Rais kaongeza ng'ombe! Ccm ndo ng'ombe?View attachment 3441723
Chini ya Rais Samia, mifugo aina ya ng’ombe imeongezeka kutoka 33,928,391 mwaka 2020 hadi 39,241,375 mwaka 2025, sawa na ongezeko la ng’ombe 5,312,984 ambao ni asilimia 16,
Hii ni kutokana na sera za uboreshaji wa mbegu, huduma bora za mifugo ikiwemo chanjo za ruzuku, na upatikanaji wa malisho bora na ya uhakika, hatua iliyoongeza tija, kipato cha wafugaji na usalama wa nyama na chakula nchini.
Umeniwahi mkuu, yaani mama ana miujiza huyu sijapata kuona!.Anawafugia wapi?
Ni kweli nchi hii ng'ombe wameongezeka sana kipindi cha mama Samia.Only stupid who will appreciate this
Bei ya nyama mnaijua?? Kila siku inapaaaaa
Hii sensa ya kuku, mayai, maziwa....imefanyika lini?View attachment 3442003
Chini ya Rais Samia, uzalishaji wa mayai umeongezeka kutoka 4,510,345,000 mwaka 2020 hadi 7,105,907,370 mwaka 2024|25, tofauti ya 2,595,562,370 sawa na ongezeko la asilimia 57. Haya ni matokeo ya ubora wa mbegu, lishe bora na mbinu bora za ufugaji zimeongeza uzalishaji wa mayai na nyama, tija na usalama wa nyama
View attachment 3442003
Chini ya Rais Samia, uzalishaji wa mayai umeongezeka kutoka 4,510,345,000 mwaka 2020 hadi 7,105,907,370 mwaka 2024|25, tofauti ya 2,595,562,370 sawa na ongezeko la asilimia 57. Haya ni matokeo ya ubora wa mbegu, lishe bora na mbinu bora za ufugaji zimeongeza uzalishaji wa mayai na nyama, tija na usalama wa nyama, HII INATOKA NA RAIS KUTOA CHANJO YA KUKU BURE.
| Na. | Aina ya Mifugo | Aina Ndogo | Idadi (Tanzania) |
|---|---|---|---|
| 1 | Ng’ombe | Asili | 36,494,479 |
| Maziwa | 2,746,896 | ||
| 2 | Mbuzi | Asili | 28,592,597 |
| 3 | Kondoo | Asili | 9,658,880 |
| 4 | Nguruwe | Cross breed | 4,131,962 |
| 5 | Kuku | Asili | 49,705,321 |
| Kisasa | 58,415,764 | ||
| Jumla | — | — | 189,745,899 |
Hayo Mayai nani aliyahesabu?View attachment 3442003