Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Wewe unataka uelewe wapi
Hivi kusema amejenga shule za msingi mpya 3,133, kwa mfano, ni good enough? Show us why this is commendable! What if someone else can build 4,500 schools using the same amount of resources (or build the same 3,133 schools but using just 75% of the resources that your crooked Chura Kiziwi used to build them)?
 
Daa sometimes huwa naona watu hatuelewi uchumi, mana ukisema maendeleo ya watu na siyo vitu I hardly can separate that, wakati wengine tunafikilia kwanini hatu divert luvu isimwage maji baharini na tupeleke maji hayo kuanzia morogoro, dodoma, ingida, kahama hadi mpakani lusumo, ilikusudi zile plain land tuwe na irrigation scheme zinazoweza fanya kazi kipindi chote cha mwaka tupate chakula cha kutosha na kuuza nje zaid na pia kupata malisho ya mifugo kipindi chote cha mwaka, mambo ambayo yatakuwa na gharama kubwa kwenye masuala ya land expropriation but mwishowe chakula kitazalishwa kwa wingi na gharama za maisha zitashuka, pesa za kigeni zitakuja nyingi na wawekezaji wataongezeka. But Katika mentality unayoelezea we will remain poorer and population ikifika 300million we will not be able to feed ourself and tutakuwa tunaishi kwa mikopo kutoka magharibi. Land itakuwa completely mis managed kila mtu kajenga everywhere, hakuna useful land for agriculture, handling development projects becomes more complex juu ya gharama kubwa sababu ya land expropriation. eventually poor and poor kama mind yako inavyofikilia.
 
Rais Samia kipindi cha UONGOZI wake katika mkoa WA Dodoma ametoa zaidi ya 10T katika kuboresha na kuanzisha MIRADI katika mkoa hii kazi nzuri sana inayofanywa na Mheshimiwa Raias wanadodoma tunapaswa kumpa Asante Mheshimiwa RAIS Dkt Samia suluhu Hassan
 
Kawaita wanajeshi wastaafu wote waliopigana vita vya Uganda. Lengo wakachukue maburungutu yao ya pesa.

Sio Nyere, Sii Mkapa wala sio mzee Magu aliofanya hivyo.
Kweli mwanamke huwa na huruma sana.
Hongera mama
Mitano tena+ mengine 5
 
wachukue wakiwa makaburini.viini macho.unaweza kuwadanganya watu wote but huwezi kudanganya watu wote mda wote.anyway nasubiri trekta yangu mpya 2026 after 100days in ikulu.SAMIA 5 TENA
 
Moja ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu ni ujenzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Songwe ya Dr. Samia Suluhu Hassan.

Jengo linaloonekana ni jengo la madarasa ya kisasa kabisa.

 
Ni ujenzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Songwe ya Dr. Samia Suluhu Hassan.

Jengo linaloonekana ni jengo la madarasa ya kisasa kabisa.

#KurayakwanzakwaSamia
#Haijapatakutokea
 
Mama yetu mpendwa, Rais Samia Suluhu Hassan,
Tunakupongeza na kukushukuru kwa moyo wa huruma na upendo kwa wananchi.
Kupitia uongozi wako imara, wakulima 109,373 wa mkoa wa Songwe
wamenufaika na mbolea ya ruzuku yenye thamani ya shilingi bilioni 75.14.

Ni hatua kubwa inayodhihirisha dhamira yako ya kweli
ya kuinua kilimo na maisha ya watanzania.
Shukrani zetu kwako mama, kiongozi jasiri,
unayeona mbali na kuweka maslahi ya wananchi mbele ya yote.

#KurayakwanzakwaSamia
#Haijalatakutokea
 
Mama yetu kipenzi, Rais Samia Suluhu Hassan,
Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wako imara,
Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe.

Hatua hii imeleta faraja kubwa,
kwa kuwa sasa walimu wetu wanaishi karibu na shule,
wakipata muda zaidi wa kuwafundisha na kuwalea wanafunzi wetu.

Mama, tunakushukuru kwa kuona mbali,
kwa kuthamini elimu na walimu wetu,
na kwa jitihada zako za dhati za kuboresha maisha ya watanzania.

#KurayakwanzakwaSamia
#Haijapatakutokea
 
Mama yetu mpendwa, Rais Samia Suluhu Hassan,
Tunatoa shukrani kwa uwekezaji mkubwa katika elimu.
Kupitia mradi wa SEQUIP, maabara za kisasa zimejengwa
katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyopo Kata ya Udinde, Halmashauri ya Wilaya ya Songwe.

Maabara hizi zimekuwa nguzo ya maendeleo ya elimu ya sayansi,
zikitoa fursa kwa wanafunzi kujifunza kwa vitendo,
na kuongeza ufaulu pamoja na ubunifu kwa kizazi cha leo na kesho.

Mama, tunakushukuru kwa kuona mbali,
kwa kuwekeza katika ndoto za vijana wetu,
na kwa kutuonyesha kwamba elimu bora ni msingi wa taifa imara.

#KurayakwanzakwaSamia
#Haijapatakutokea
 
Dr Samia Suluhu Hassan mwanamke wa kwanza Tanzania kua Rais mwanamke wa kwanza Tanzania kuongoza watanzania milion 63. Mwanamke wa kwanza kujenga shule nyingi na Mabweni na zahanati. Mwanamke wa kwanza kuajili. Watumishi wengi wa Umma. Mwanamke wa kwanza kuongoza watanzania Much know. Kila mwananchi mjuaji.
 
Wewe ni mwanamke au mwanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…