Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Whether she's wins or forfeit the fate of Tanzania is already sealed. Major Bloodbath on the hoziron.
 
MAPATO YA KODI YA SERIKALI (2020-2021,2023-2025)
KILIMO (25–30%)
Kutoka takribani Sh 2.8 trilioni (2020/21) hadi Sh 6.4 trilioni (2024/25)
Limechangiwa na ongezeko la uzalishaji, masoko ya nje, na kuongeza thamani (processing)

VIWANDA & UZALISHAJI (20–22%)
Viwanda vya saruji, vinywaji, sukari, viliongeza mapato kupitia VAT na kodi ya mapato ya kampuni.
Makadirio: kutoka a, Sh 2.3 trilioni hadi ~Sh 4.6 trilioni.

BIASHARA & HUDUMA (25–28%)
Hii ni sekta kubwa ya kodi (maduka, huduma za kifedha, mawasiliano, hoteli, usafirishaji).
Makadirio: kutoka, Sh 3.1 trilioni hadi, Sh 5.9 trilioni.

NISHATI NA MADINI(10–12%)
Mapato kupitia royalty ya madini, gesi, mafuta, na kodi ya mauzo.
Makadirio: kutoka, Sh 1.1 trilioni hadi, Sh 2.3 trilioni.

SEKTA NYINGINE (serikali za mitaa, kodi ndogo ndogo, kodi za ardhi,) (10%)
Makadirio: kutoka, Sh 1.0 trilioni hadi ~Sh 2.0 trilioni.
#Haijapatakutokea #kurayakwanzakwaSamia
 
⚡ Mradi wa REA III – Mzunguko wa Pili, Mbeya

Utekelezaji wa mradi huu umekamilika kwa mafanikio makubwa.
👉 Zaidi ya wateja 7,546 na vijiji 152 sasa
 
Rais. Samia mitano tena hakuna anayepinga Watanzania tumedhamiria na tunakwenda na mama SSH2530
 
Uongozi wake wa kipekee kama mwanamke wa kwanza kuwa Rais wa Tanzania.

Mageuzi makubwa aliyoyafanya katika diplomasia na kufungua nchi kidiplomasia na kiuchumi.

Juhudi zake katika miundombinu mikubwa kama SGR, bwawa la Nyerere, na barabara.

Kuongeza kasi ya uwekezaji na mazingira rafiki kwa wafanyabiashara.

Kupigania maendeleo ya maji, afya na elimu vijijini.

Mtindo wake wa uongozi wa maelewano, mshikamano na umoja wa kitaifa.
 
Hongera sana serekali ya mama samia kwa maendeleo makubwa katika jimbo la same mashariki ,Umetujengea vituo vya Afya kila kata hakika mama umetuheshimisha. Umeweza kusambaza umeme kwenye kila kijiji mfano ni vijiji vya lugulu ,kanza ,vumba,vilivyopo kata ya lugulu vimeshaunganishiwa umeme ,hongera sana mama. Kwenye suala la miundombinu ya barabara tunakushukuru xan ,maana barabara nyingi kwa sasa zimeimarishwa na zinapitika hongra sana mama kuimarika kwa bei za mazao, sisi same mashariki tunajishughulusha kulima zao la tangawizi katika kipindi cha miaka minne ya mama bei ya tangawizi imeaimarika sana maana kwa sasa kilo moja ya tangawizi ni sh 1700 hadi 2000 tofauti na huko nyuma bei ilikua 500 hadi 800 tunakushukuru mama kwa kuimaisha bei ya tangawizi Ndugu zangu wa same mashariki 29/10/2025 tuipigie kura za kishindo ccm kwakuwapa kura za kishindo wagombea wa ccm ambao ni madiwani ,Mbunge Anne kilango Malechela ,Na mgombea Uraisi mama samia suluhu hassani. Wito kwa Watanzani wenzangu tumpigie kura mgombea wa Uraisi kupitia CCM Mama samia suluhu hassani .
 
Angetekeleza haya angepata uungwaji mkono kwa wengi
 
Tokana na hali na uzoefu vya kuongozwa na mwanamke kama mtanzania, najiuliza kama kuna nchi za Kiswahili ambazo zilitawaliwa na wanawake zikaendelea. Najiwazia kimya kimya baada ya kuchoshwa na kuudhiwa na yanayoendelea.
 
Sababu ni hizi
1. Ameprove kuwa hana uwezo wa kuongoza.
2. Anashirikiana na magenge ya uhalifu.
3. Hakemei Rushwa.
4. Mdini
5. Anakandamiza upinzani
6. Ni mtu wa visasi.
7. Amezeeka hivyo hana jipya
8. Ameshindwa kutatua changamoto zinazolikabili taifa.
9. Ni mvivu.
10. Hana ushawishi wowote.
11. Mlevi
 
Naungana na wewe kwenye hivyo vipengele ila kupiga kura ni kujipotesea muda tu. Hawa Jamaaa ni majambazi
 
Mimi ni mmoja kati ya wengi tuliomkubali uyu mama kwa moyo mmoka! Kwa Mara ya kwanza nimepata mtu nayeweza kutamka kwamba huyu ni raisi wangu
Wapumbavu ni wengi sana tanzania na siku zote mpumbavu ujifunza kwa hasara na majuto
 
Haya majina huwa wanajiita wenyewe. Jiwe alotaka mwenyewe.

Msimuwekee mama maneno mdomoni.

Mama ni Mwisalamu safi.
😁😁😁Wapumbavu ni wengi sana tanzania na siku zote mpumbavu ujifunza kwa hasara na majuto
 
Udhaifu na woga wa Mama umerudisha nyuma sana wanawake wa TZ. Yaani sasa itachukuwa muda tena kuchagua wanawake wetu !!!
 
Mzee wetu huyu anatahamaki hata yeye umapepe wa kijana wake Abdul utekaji wa serikali ya mke wake. Hajawahi kuonyesha furaha zaidi wa wakati wa maridhiano


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…