Vp mkuu, Leo hii unajisikiaje baada ya kuandika comment ya kingese kama ww ulivyo mngese?Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3. Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4. Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5. Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7. Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8. Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
hongera kwa kufuzu makundiuko Wasapu sitatasi watu wanahamasishana jinsi ya kumuondoa mama abuduli.
Insitagiramu, pia kumewaka moto, mama abuduli anaandamwa kama kijumbe aliyekimbia na pesa za upatu.
Niwazi Mama abuduli amekataliwa duniani hadi kuzimu
Tunasubiri kukuche, tukampeView attachment 3495471
Yupo tayari kuhudumia kwa ujasiri mkubwa!
Mkuu wasanii wanapewa nafasi za ubunge lakini wewe mbona hawakupi?.Tunasubiri kukuche, tukampe
P
View attachment 3495471
Yupo tayari kuhudumia kwa ujasiri mkubwa!
Mzee hukomi tu !Tunasubiri kukuche, tukampe
P
RubbishView attachment 3495471
Yupo tayari kuhudumia kwa ujasiri mkubwa!