Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Unashinda kwa asilimia 90% alafu unaenda kuapishwa mbele ya jeshi badala ya wananchi ushihidi mwengine huu hapa kuwa samia ni haramu
 
Hivi siku ukikutana nae akakupa mkono utampa mkono au utautemea mate kwanza mkono wako kisha ndio utampa mkono?
 
Hivi siku ukikutana nae akakupa mkono utampa mkono au utautemea mate kwanza mkono wako kisha ndio utampa mkono?
Siwezi kukutana na muuwaji mimi akatafute wauwaji wenzake huko wakutane wapeane mikono mimi nitakutana na watu timamu na wazalendo kweli kweli.
 
Kichwa cha habari kiko wazi. Nakaribisha wote. Waje na sababu za maoni na misimamo yao tuelimishane, kujuzana, na tunufaishane kiakili ili tuelewekeke na kujikomboa. Hii, itakuwa ni onyo na somo kwa mlengwa na watu wake. Pia, ni fursa ya kujitathmini, kujirekebisha mbali na kujua ukweli hata uwe mchungu vipi.
Nawasilisha.
Karibuni nyote na wote.
 
karibu pia.
 
Nina hasira sana baada ya watoto wangu wawili kuuawa na miili yao kupotezwa, licha ya kwamba tuliiona Mwananyamala, ila tukanyimwa kupatiwa.

Nahangaika na kujitibu hisia. Nimeamua nitue mizigo yangu kwa Yesu na kumtwika fadhaa zangu kama asemavyo tumtwike yeye fadhaa zetu katika 1Petro 5:6-7.

Mungu niwezeshe kumpenda adui yangu. Tume ya Chande imenirarua moyo wangu na kuujeruhi kabisa badala ya kuleta uponyaji.
 
GTs,

Baada ya safari ya Urusi, hakika niliyoyashuhudia huko, basi Dkt Samia aendelee kubakia kwenye kiti cha Urais mpaka 2040.

Cha muhimu tuanze mchakato wa kubadili katiba ya chama na ya nchi ili Dkt wetu, Rais wetu mwenye akili, uweza na uzalendo aendelee kuwa Rais wetu mpaka 2040
 
Hakuna watu wa kuendelea kuua tena. Yeye asuburi kuja kujibu mauaji alivyofanya. Hata afanye nini hakwepi mkono wa sheria. Huko Russia aliona makubwa kuliko aliyooana alipokwenda US?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…