NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Kuhusu tume na katiba sahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh umemkazia ila ukweli ndo huo.Tundu lissu kamwe hawezi kuwa rais
Kachochea nini ? Nani ? Na kwa uvunjifu upi wa amani ?Uzi umejaa uchochezi
Km huna cha kuongea si ukae tu kimya? Kuna mtanzania mwenye utimamu wa akili hahitaji katiba mpya.Uzi umejaa uchochezi
Unaweza kuanzisha thread yako kuhusu: Tundu Lissu kamwe hawezi kuwa rais.Na utaeleza kwa uhuru kabisa mtazamo wako.ila mimi niko na hoja ya mchakato muhimu sana wa katiba.Tundu lissu kamwe hawezi kuwa rais
Kuna mahala unakosea bila Katiba mpya ccm watatokaje na bila ccm kutoka huo uongozi madhubuti tutaupataje? Maana hawapo ndani ya ccmMleta uzi acha upoyoyo,katiba mpya itusaudie nini?.au wewe katiba hii iliyopo inakupunguzia nini,?kenya kila siku wanatengeneza katiba,inawasaidia nini? Uingereza mpk leo ni zaidi ya miaka 100 hawajaandika katiba,wanaupungufu gn? Marekani mpk leo wanazaidi ya karne moja na nusu hawajawahi kuandika katiba,wanaupungufu gn? Shida kubwa ya hii nchi ni usimamizi wa rasilimali za nchi yetu,na uongozi madhubutu,
KUMBE ULIKUWA UJUI??Unadhani hadi mzimu wake unatutawala?
unasemaje kijana??Samia Kama pambo lenye jina la Raisi
Nyuma yapazia Kuna watu watam'contro akileta ubishi atawekwa pembeni Muda wowote
Mungu amsaidie 'Iron lady' Mama Samia! Baba kaondoka lakini mama yupo!Muhimu kutenda haki aliyepita ni mzuri shida kwenye haki alipwaya
Tuwekee picha ya katibaKachochea nini ? Nani ? Na kwa uvunjifu upi wa amani ?
Sio amchague slaaa kuwa msaidizi wake sema slaaa ajiandae kurudi bongo aje kuishi kama raia wa kawaida tuu.. Hahahaa tabu ipo palepaleLabda amchague mtu kama Dr. Slaa awe makamu wa Rais, hao wengine wote tutarudi kuleeeeeeee .... Ruksa
Nyuma yake mama Samia Kuna watu wana-contor Disition zake akileta ubishi nayeye atawekwa pembeni Kama ilivyokua kwa Jiwe...unasemaje kijana??