Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Uzi umejaa uchochezi
Km huna cha kuongea si ukae tu kimya? Kuna mtanzania mwenye utimamu wa akili hahitaji katiba mpya.

Tunasongaje mbele bila kufanya marekebisho ya sheria kandamizi na katiba ya nchi.Msingi wa utawala bora, demokrasia makini ni uwepo wa KATIBA BORA.Katiba ndiyo kila kitu.

Sijui uchochezi uko ktk nini. Au nawe ndiyo wale wasio na fahamu wanajiita MATAGA. Tafuta kazi ya kufanya sasa.
 
Tundu lissu kamwe hawezi kuwa rais
Unaweza kuanzisha thread yako kuhusu: Tundu Lissu kamwe hawezi kuwa rais.Na utaeleza kwa uhuru kabisa mtazamo wako.ila mimi niko na hoja ya mchakato muhimu sana wa katiba.

By the way hii mada Ni kwa ajili ya wenye akili. Sorry dada yangu.
 
Mleta uzi acha upoyoyo,katiba mpya itusaudie nini?.au wewe katiba hii iliyopo inakupunguzia nini,?kenya kila siku wanatengeneza katiba,inawasaidia nini? Uingereza mpk leo ni zaidi ya miaka 100 hawajaandika katiba,wanaupungufu gn? Marekani mpk leo wanazaidi ya karne moja na nusu hawajawahi kuandika katiba,wanaupungufu gn? Shida kubwa ya hii nchi ni usimamizi wa rasilimali za nchi yetu,na uongozi madhubutu,
 
Kuna mahala unakosea bila Katiba mpya ccm watatokaje na bila ccm kutoka huo uongozi madhubuti tutaupataje? Maana hawapo ndani ya ccm
 
Katika matatizo yote haya wewe ndo unaona katiba. Kenya wanazo Tatu zimewasaidiai Nini. Watu kama nyie 2021 unawaza uchaguzi. Unafanya kazi saa ngapi. Kwanini humpi mwenyewe ajue Nini muhimu.
 
Akili yako haiko sawa aisee, nimeshindwa kushangaa kama watu wa aina yako bado wanaishi kwani wengi wenu walikufa kwenye vita ya Maji Maji na baadaye vita ya Kagera!
 
Sasa katiba mpya inakusaidia nini mkuu? Mataifa mangapi yanachapa katiba mpya kila leo na bado ni poorest enough
 
Muhimu airejeshe nchi kwenye utawala wa kikatiba, sheria na taratibu zinazoeleweka sio mihemuko na matamko yanayokinzana. Nchi inahitaji TAASISI IMARA sio UTAWALA WA KIIMLA
 
Back
Top Bottom