myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Ushauri........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😡😡😡😡😡😡😡😡Kwa heshima zote naomba uupokee ushauri huu ukiona ni vema. Ninajua kuna wasaidizi wako wengi humu mitandaoni esp babalao JF.
USHAURI: Uza ndege zote, pesa itakayoatikana anzisha kilimo cha umwagiliaji. (Biashara ya usafiri wa anga achia sekta binafsi, wawekee mazingira rafiki ya biashara kisha wewe (serikali) utakuwa ni mkusanyaji wa kodi. Katika hilo uboreshe viwanja vya ndege). Anzisha irrigation system schemes za uhakika. Tuanzishe plantations za mazao mbalimbali ambapo tutaweza kupata malighafi kwa ajili ya viwanda vyetu na tutauza mazao mengine nchi za nje kisha tutapata fedha za kigeni. Ardhi nzuri ya kutosha yenye rutuba tunayo, maji tunayo. Mungu ametujalia haya.
Duniani kote mapinduzi ya viwanda yalitokea baada ya mapinduzi ya kilimo. Kilimo na viwanda vitakuwa ni mwarobani wa tatizo la ukosefu wa ajira.
Usiogope kuona tofauti na mtangulizi wako. Sio dhambi kuona tofauti na aliyekutangulia.
Bila unafiki naomba kuwasilisha.
YESU NI BWANA NA MWOKOZI!
Mkuu chanjo yenyewe haizuii kitu kama covid utapata usipovaa maskUshauri mzuri kuwekeza kwenye kilimo.
Japo ni ku-challenge, kwanini shirika kuliko liendele kujiendesha kwa hasara kwa nilisitishe au kupunguza huduma zake kupisha covid-19 pandemic to pass?
Kingine wananchi tumeambiwa lockdown hakuna kwanini asituletee chanjo itakua jambo jema sana, chanjo mwili huku watu wanaendelea na uchapa kazi wanaouhamasisha kila siku.
Covid ata ukivaa mask risk ya kuipata ipo palepale lakini chanjo ni second protection inahitaji mkuu, kuna watu wanafanya kazi kwenye vitu vya afya wako kwenye risk kuliko wengine.Mkuu chanjo yenyewe haizuii kitu kama covid utapata usipovaa mask
Mtaharibu hapa mnapotaka kumpangia!Leo niseme Tu ukweli kuwa wewe si mtu wa maneno maneno,,, ila your actions speak louder.. kitendo cha kumtumbua mkurugenzi wa TPA ni chakupongezwa...
kazi uliyobakisha sasa ni kuhimiza watu wavae barakoa na wafuate ushauri wa wataalam wa afya.
Wewe uwe mfano kwenye hili..vaa barakoa
Safi sana, itakuwa big step to the right direction.1. Ajira kwa wahitimu
waliorundikana mitaani hasa wale wa taaluma ya ualimu
2. Kupandisha mishahara na madaraja kwa wafanyakazi ambayo haijapanda tokea mwaka 2015
3. Uhuru wa vyombo vya habari
4. Bunge live
5. Uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote
6. Kuendelea kujenga miundo mbinu
7. Kufuta kitambulisho Cha machinga au wajasiriamaliK Na Kuondoa mrundikano wa Kodi
8. Kurudisha FAO la kujitoa
9. Kurudisha Demokrasia ya kweli
N.k.
Kama Samia akiyafanya haya pamoja na mengine, nitakuwa wa kwanza kumsahau Hayati Magufuli kwani Mimi Ni mhanga wa mengi Kati ya hayo yaliyofanywa katika utawala wa Magufuli
Akifanya mambo mawili tu kwanza!1. Ajira kwa wahitimu
waliorundikana mitaani hasa wale wa taaluma ya ualimu
2. Kupandisha mishahara na madaraja kwa wafanyakazi ambayo haijapanda tokea mwaka 2015
3. Uhuru wa vyombo vya habari
4. Bunge live
5. Uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote
6. Kuendelea kujenga miundo mbinu
7. Kufuta kitambulisho Cha machinga au wajasiriamaliK Na Kuondoa mrundikano wa Kodi
8. Kurudisha FAO la kujitoa
9. Kurudisha Demokrasia ya kweli
N.k.
Kama Samia akiyafanya haya pamoja na mengine, nitakuwa wa kwanza kumsahau Hayati Magufuli kwani Mimi Ni mhanga wa mengi Kati ya hayo yaliyofanywa katika utawala wa Magufuli