Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Jiwe ni zawadi kutoka kwa Mungu? Pumbavu wew
Nabii siku zote wanaomkubali ni kizazi kijacho si kile anachofanyia unabii ,unadhani leo Yesu angekuwepo kuna mtu angesubutu hata kuwaza kumuua ? au hata wangesubutu kumkamata ? lakini kipendi kile kiliwezekana coz iliandikwa kuwa vile so wanao au wajukuu zako kuna siku hawatoweza kusema kauli kama yako zaidi ya kusifu juhudi zake na nakwambia itachukua miaka mingi sana kupata mzalendo kama yule .ila kwa vile wenye simu wengi pamoja na ww mmeshikiwa akili na kigogo na Lissu hamuwezi japo kutumia akili zenu japo 0001% .
 
2-Image-from-iOS-19-1.jpg

Hapo kwenye Yellow mkiwa mmevaa Barakoa bila social distancing maambukizi yanapungua sana, ila ni vizuri kufanya Social distancing kama ilivyoainishwa hapo kwenye green.
 
1. Ajira kwa wahitimu
waliorundikana mitaani hasa wale wa taaluma ya ualimu
2. Kupandisha mishahara na madaraja kwa wafanyakazi ambayo haijapanda tokea mwaka 2015
3. Uhuru wa vyombo vya habari
4. Bunge live
5. Uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote
6. Kuendelea kujenga miundo mbinu
7. Kufuta kitambulisho Cha machinga au wajasiriamaliK Na Kuondoa mrundikano wa Kodi
8. Kurudisha FAO la kujitoa
9. Kurudisha Demokrasia ya kweli
10. Kupunguza riba kubwa ya bodi ya mikopo na kurudisha riba nafuu Kama ilvyokuwa kwa jk
N.k.

Kama Samia akiyafanya haya pamoja na mengine, nitakuwa wa kwanza kumsahau Hayati Magufuli kwani Mimi Ni mhanga wa mengi Kati ya hayo yaliyofanywa katika utawala wa Magufuli
Unasahau kama Samia alikuwa lefthand wa JPM..kwa hiyo maamuz yao yalikuwa Mamoja...
 
Aa

aagize kupitiwa upya zile kesi ,za wahujumu uchumi,wachochezi,uhalifu wa kimtandano(kumtukana raisi),wale mashekhi wa uamusho nk.

Hapo kulikuwa na ukiukwaji wa haki za binadamu na uonevu kwa maslahi binafsi
Kwenda kule..lete ushahidi hapa
 
MH SAMIA, nakushauri sana ili kutngeneza legacy yako nakuonyesha hukukubalina na mtangulizi wako basi nashauri utangaze tota lock down kwa kiezi miwili kuanzia sasa ili kupambana na CORONA . Na hii itakupa heshima kubwa sana kw wapinzani,, wazungu na wanachi wa mjini..
Kila la kheri katika kutkeleza
Unataka watu wafungiwe ndani chakula utawapa? Watu wengine bure kabisa... Yani mkishashibaga kitimoto mnakuja kuropoka uharo hapa JF bila kufikiria twice.
 
Mhe Rais Mama Samia, Kwanza hongera umeanza kazi vizuri sana.

Ulipoanza speech yako baada ya kupokea ripoti ya TAKUKURU na CAG, umesalimia kwa salamu ya kawaida "habari ya asubuhi". Salamu nzuri sana, na muafaka kabisa kwa shughuli za serikali kwani serikali haina dini.

Pili wengi tumefurahishwa sana na hatua ulizochukua baada ya kupokea ripoti hizo. Mama umeonyesha uongozi, asante sana.

Msimamo wako kuhusu rushwa na ubadhirifu tumeusikia, tunakuombea kila la heri.

Sasa tunakuomba uelekeze jitihada zako pia kwenye kero nyingine hasa za ukanda, ukabila, mfumodume na udini ili usawa na upendo utamalaki nchini. Tukisharudi sote kama wananchi wamoja wasokuwa na mgawanyiko wala utengano tutaweza sasa kushauriana vizuri zaidi kuhusu kujenga nchi.
 
MH SAMIA, nakushauri sana ili kutngeneza legacy yako nakuonyesha hukukubalina na mtangulizi wako basi nashauri utangaze tota lock down kwa kiezi miwili kuanzia sasa ili kupambana na CORONA . Na hii itakupa heshima kubwa sana kw wapinzani,, wazungu na wanachi wa mjini..
Kila la kheri katika kutkeleza
Utakuwa huna kazi wewe, ni kula kulala kwa shemeji huku ukisikiliza dadako anavyopewa tiba!
 
Hivi kweli akili yako inakutosha wewe jamaa?
24hrs in a month mpo ndani mnakula na kwenda chooni, wewe, mkeo, wanao na bibiyao huku mnashinda kuangalia movie kwa siku 61?.

Utakuwa huna kazi na unalishwa na shemeji yako si bure.
 
MH SAMIA, nakushauri sana ili kutngeneza legacy yako nakuonyesha hukukubalina na mtangulizi wako basi nashauri utangaze tota lock down kwa kiezi miwili kuanzia sasa ili kupambana na CORONA . Na hii itakupa heshima kubwa sana kw wapinzani,, wazungu na wanachi wa mjini..
Kila la kheri katika kutkeleza
Lock Down No!

Ila aanze kuvaa barakoa na kusisitiza kunawa mikono.Na upimaji uwe wa wazi.
 
Hahaha eti " itakupa heshima kwa wazungu" m★v y_k unafikiri wazungu watalisha familia zetu? Usituletee shibe yako hapa.
 
MH SAMIA, nakushauri sana ili kutngeneza legacy yako nakuonyesha hukukubalina na mtangulizi wako basi nashauri utangaze tota lock down kwa kiezi miwili kuanzia sasa ili kupambana na CORONA . Na hii itakupa heshima kubwa sana kw wapinzani,, wazungu na wanachi wa mjini..
Kila la kheri katika kutkeleza
Mende moja hii hapa. Kwahiyo kwako wewe ili Rais atengeneze legacy lazima aweke lockdown?
 
Akifanya mambo mawili tu kwanza!

1
Kukomesha watu wasiojulikana na kuruhusu uchunguzi huru kujua wanaofanya matukio hayo ambayo ni kama;
Kushambuliwa Mh Lisu
Kupotea Ben saanane
Azor gwanda nk.

2
Kuruhusu uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote.

Mengine ni pamoja na kuchukuliwa hatua viongozi wote waliofanya kazi nje ya sheria ambao ni kama kina sabaya, huyu nanilii wa Mbeya na wengine wa aina hiyo
Exactly Sabaya na wahuni wenzie kina Chalamila waende jela .
 
Back
Top Bottom