Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nabii siku zote wanaomkubali ni kizazi kijacho si kile anachofanyia unabii ,unadhani leo Yesu angekuwepo kuna mtu angesubutu hata kuwaza kumuua ? au hata wangesubutu kumkamata ? lakini kipendi kile kiliwezekana coz iliandikwa kuwa vile so wanao au wajukuu zako kuna siku hawatoweza kusema kauli kama yako zaidi ya kusifu juhudi zake na nakwambia itachukua miaka mingi sana kupata mzalendo kama yule .ila kwa vile wenye simu wengi pamoja na ww mmeshikiwa akili na kigogo na Lissu hamuwezi japo kutumia akili zenu japo 0001% .Jiwe ni zawadi kutoka kwa Mungu? Pumbavu wew
Unasahau kama Samia alikuwa lefthand wa JPM..kwa hiyo maamuz yao yalikuwa Mamoja...1. Ajira kwa wahitimu
waliorundikana mitaani hasa wale wa taaluma ya ualimu
2. Kupandisha mishahara na madaraja kwa wafanyakazi ambayo haijapanda tokea mwaka 2015
3. Uhuru wa vyombo vya habari
4. Bunge live
5. Uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote
6. Kuendelea kujenga miundo mbinu
7. Kufuta kitambulisho Cha machinga au wajasiriamaliK Na Kuondoa mrundikano wa Kodi
8. Kurudisha FAO la kujitoa
9. Kurudisha Demokrasia ya kweli
10. Kupunguza riba kubwa ya bodi ya mikopo na kurudisha riba nafuu Kama ilvyokuwa kwa jk
N.k.
Kama Samia akiyafanya haya pamoja na mengine, nitakuwa wa kwanza kumsahau Hayati Magufuli kwani Mimi Ni mhanga wa mengi Kati ya hayo yaliyofanywa katika utawala wa Magufuli
Kwenda kule..lete ushahidi hapaAa
aagize kupitiwa upya zile kesi ,za wahujumu uchumi,wachochezi,uhalifu wa kimtandano(kumtukana raisi),wale mashekhi wa uamusho nk.
Hapo kulikuwa na ukiukwaji wa haki za binadamu na uonevu kwa maslahi binafsi
Unataka watu wafungiwe ndani chakula utawapa? Watu wengine bure kabisa... Yani mkishashibaga kitimoto mnakuja kuropoka uharo hapa JF bila kufikiria twice.MH SAMIA, nakushauri sana ili kutngeneza legacy yako nakuonyesha hukukubalina na mtangulizi wako basi nashauri utangaze tota lock down kwa kiezi miwili kuanzia sasa ili kupambana na CORONA . Na hii itakupa heshima kubwa sana kw wapinzani,, wazungu na wanachi wa mjini..
Kila la kheri katika kutkeleza
Aisee
Mtamvuruga mama wa watu bure!
Marehemu kaenda zake Kwa sababu nyingiPesa za Fao la kujitoa alikula marehemu enzi za uhai wake alikuwa na roho mbaya kula pesa za watu bila huruma daaah
Bongo vichwa vipo vingi sana sema havitumiki tuWapo kama akina Mchechu, Laurence Msfuru , Moshingi wa Benk ya Posta na Kimei
Buza eehKwetu limeanza jana tatizo na leo tena wamerudia
Utakuwa huna kazi wewe, ni kula kulala kwa shemeji huku ukisikiliza dadako anavyopewa tiba!MH SAMIA, nakushauri sana ili kutngeneza legacy yako nakuonyesha hukukubalina na mtangulizi wako basi nashauri utangaze tota lock down kwa kiezi miwili kuanzia sasa ili kupambana na CORONA . Na hii itakupa heshima kubwa sana kw wapinzani,, wazungu na wanachi wa mjini..
Kila la kheri katika kutkeleza
Lock Down No!MH SAMIA, nakushauri sana ili kutngeneza legacy yako nakuonyesha hukukubalina na mtangulizi wako basi nashauri utangaze tota lock down kwa kiezi miwili kuanzia sasa ili kupambana na CORONA . Na hii itakupa heshima kubwa sana kw wapinzani,, wazungu na wanachi wa mjini..
Kila la kheri katika kutkeleza
Mende moja hii hapa. Kwahiyo kwako wewe ili Rais atengeneze legacy lazima aweke lockdown?MH SAMIA, nakushauri sana ili kutngeneza legacy yako nakuonyesha hukukubalina na mtangulizi wako basi nashauri utangaze tota lock down kwa kiezi miwili kuanzia sasa ili kupambana na CORONA . Na hii itakupa heshima kubwa sana kw wapinzani,, wazungu na wanachi wa mjini..
Kila la kheri katika kutkeleza
Exactly Sabaya na wahuni wenzie kina Chalamila waende jela .Akifanya mambo mawili tu kwanza!
1
Kukomesha watu wasiojulikana na kuruhusu uchunguzi huru kujua wanaofanya matukio hayo ambayo ni kama;
Kushambuliwa Mh Lisu
Kupotea Ben saanane
Azor gwanda nk.
2
Kuruhusu uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote.
Mengine ni pamoja na kuchukuliwa hatua viongozi wote waliofanya kazi nje ya sheria ambao ni kama kina sabaya, huyu nanilii wa Mbeya na wengine wa aina hiyo