Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
Mwambie huyo jamaa asiye jifahamu yeye ni nani.Kwanini mnalazimisha kila mtu kuwa muoga!?... Umeshawahi kupanda mwendokasi asubuhi au jioni!?.., hakuna cha balakoa wala nini na watu wanajaa vibaya, hiyo Corona ingekuwa hatari Kimara wote wangekuwa wanauguza. Tanzania imechagua njia iliyoichagua ku deal na Corona. Uliwahi muona Samia na barakoa!?,hujiulizi kwanini!?, Kama unataka jifungie na familia yako,wahimize wavae barakoa, wasiende popote wajifungie tu. Mwende Kenya mkachanjwe halafu mrudi. Wengine mtuache maana mmechagua kufata njia hizo. Wazungu kibao wanapinga hizo chanjo.