Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Nilichojifunza kwa Rais Mama Samia anasikiliza maoni ya wananchi
Toka Mama Samia ameingia madarakani
Anatembea kwenye laini ya maoni ya wananchi...
More over..awachukie watu wanaojificha kwenye kivuli cha tunasaidia masikini wanyonge as if wao si Watanzania wamekuja kutusaidia tu watanzania. Kuwa kiongozi niwajibu wako .sio kiongozi atuulize tutamfanyia nini..tumuulize yeye atatufanyia nini.
 
Binafsi naanza kuona vijembe na mizaha jukwaani. Mara mwenye jinsia ya kike, Mara macho yamelegea, hii yote ya nini? Kweli hadi hapo bado unataka sifa za maumbile? Rais akumbuke kuna kundi pembeni linaangalia kama kabadilika tabia.

Tabia wanayoifahamu tangu akiwa waziri na baadaye Makamu wa Rais. Sasa kama kuna tabia hataziacha, huo ndo upenyo wa kuingilia kuharibu mambo. Tutaanza kuona tena nchi inaendeshwa kwa vimemo vya ikulu.

Mtangulizi alikomesha tabia fulani za mitaani kwa tabia yake ya kutotabilika. Dakika moja mzaha mara mtu katumbuliwa. Sasa huyu rais mpya akataposhindwa kuachana na tabia zake walizozizoea huko maofisini, itakuwa ni kuwaangusha akina mama wote wanaofuata nyayo. Asidhani hazitembei huku mitaani. Amepanda jukwaa, soon tutaanza kuambiwa hata yasiyofaa kwenye jamii hii yenye masculinity.
 
Katiba / Sheria inasemaje kuhusu hili ?

Hivi tukianza kuorodhesha nonsense zilizoongelewa.., tukirudi nyuma aliyetoka na mambo aliyokuwa akiongea (ambayo hayana logic) kweli ulikuwa huyasikii ?

In short jamaa alikuwa anapenda kuchekesha ila vichekesho vilikuwa havimpendi mwisho wa siku ikawa ni yale yale kila siku ya kuacha watu wanashangaa....

Kwa huyu mama bado sijaona baya (in short kila mtu ana aina yake ya kuwasilisha anachotaka kuongea) cha maana ni kinachoongelewa sio ameongea vipi...

Sasa wewe unayehusisha umama wake nadhani wakati umekupita....
 
Tayari ameshawakera?Duh,taabu kweli kweli.Hivi unaweza kumpangia mtu how to deliver a message kweli.Frankly the message delivered ndio muhimu zaidi.Kwanza her style keeps people alert and makes them concentrate.

Nadhani chuki inakuja kwa kuwa mmeona mliyotegemea hayatafanikiwa,hamna lolote.Hapa kazi tu,hakuna mabadiliko and there is no letting.
 
Ulitaka awe na uso mkavu na mashavu ya mbao kama Dorothy Gwajima with a verbal and body language of a crazed post menopausal bitch high on crack? Yule Dorothy Gwajima siitashangaa huwa anameza narcotics za bure kutoka MSD kabla ya press conferences zake.
 
Mbona mmeanza mapema sana,tulieni dawa iwaingie watu wanataka tr 2 kwa mwezi..kudadeki
 
Back
Top Bottom