Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Mama eti kapiga beat watu wasiwaze 2025. Hivi hili litawezekana kweli?2025 twende na Mwigulu
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama eti kapiga beat watu wasiwaze 2025. Hivi hili litawezekana kweli?2025 twende na Mwigulu
More over..awachukie watu wanaojificha kwenye kivuli cha tunasaidia masikini wanyonge as if wao si Watanzania wamekuja kutusaidia tu watanzania. Kuwa kiongozi niwajibu wako .sio kiongozi atuulize tutamfanyia nini..tumuulize yeye atatufanyia nini.Nilichojifunza kwa Rais Mama Samia anasikiliza maoni ya wananchi
Toka Mama Samia ameingia madarakani
Anatembea kwenye laini ya maoni ya wananchi...
Mama asiruhusiwe kula Kungu Ofisini