Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hakika mkuuSawa mkuu una haki kufanya hivyo na mimi na haki ya kumhukumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuuSawa mkuu una haki kufanya hivyo na mimi na haki ya kumhukumu
Pamoja mkuuHakika mkuu
Kabisa ndugu yangu MMAWIA, wote VILAZA, Wote mb 50, 🤣🤣🤣Hiyo tunaita like son like father
Hawa wachonganishi ,kwa kawaida ni watu wenye wivu,fitina na roho mbaya.Hawa ni wengi sana makazini.Hawa ,baadae ndio watampinga mama pia.Watu unaodhani wapo na wewe hawapo na wewe,hilo ni kundi lenye itikadi ya mrengo wa kushoto.
Ni kundi Toxic,lililoathiriwa na fifth phase administration,ni kundi linaloamini Tofauti na unavyoamini wewe.
Hata namna unavyoendesha Serikali hili kundi linakupinga kimya kimya, Report ya CAG wanaamini imelenga kumchafua Hayati, wanaamini wewe ulikuwa kinyume na Hayati ndo maana CAG kaanika hayo madudu.
Kwanza hawaamini kuwa kifo cha Magufuli ni kazi ya Mungu bali wanaamini kuwa kuna hujuma imefanyika.
Hili ni kundi ambalo baadhi yao wengi Tu umewapa vyeo vikubwa.
Baadhi yao wanadiriki kusema kuwa wewe siyo CCM halisi,Eti utakuwa CHADEMA ,yote hii hawataki wala kusikia Hayati anakosolewa.
Walimuona mungu mtu asiyeweza kukosea lolote.
Hawa ndo wanajipanga kuusaka Urais 2025, ndo hawa hawa waliokuwa wanakupiga majungu usifike ili usifike hapo ulipo.
Wataalamu wa ujasusi wana slogan yao inasema,"once an enemy always an enemy".
Usitarajie hao watu wakakupenda au kukuunga mkono, Kwanza hapo walipo wamechanganyikiwa,hawajui la kufanya,hawana uwezo tu kwa sababu upo juu yao.
Ushauri wangu kwako, ni huu.
1.Ifumue TISS yote kuanzia DGS hadi chini yaani from the Top to the Bottom.
2.Teua mawaziri wapya wote sambamba na wakuu wa mikoa na wilaya.
3.Usipuuze mawazo ya wapinzani
MUHIMU
CDF aendelee kuwa Mabeyo,na hata muda wake ukiisha mwongezee,na zaidi ya yote huyu mzee mwongeze mshahara,anakufaa sana,IGP hana shida yoyote pia.
Message sent and Delivered
Iko shida kubwa hasa kwenye kupata taarifa elimishi hapa Tz...Ikulu itoe elimu ya uraia (natamani mtu atoe uzi huu)Hata mtoto wangu wa miaka 7 hawezi Kuandika huu ujinga
Umeonaeeeeeee?Kabisa ndugu yangu MMAWIA, wote VILAZA, Wote mb 50, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama wewe ulivyo mpuuziUpuuzi upuuzi tu!!!
Kenge wewe, tafadhari usinizoe kuni Quote ili kunitukanaKama wewe ulivyo mpuuzi
Kenge ni tusi au siyo tusi?Kenge wewe, tafadhari usinizoe kuni Quote ili kunitukana
PumbavuHata mtoto wangu wa miaka 7 hawezi Kuandika huu ujinga
Please I do not want your ignorance, and do not follow me the great mule youKenge ni tusi au siyo tusi?
Ukiandika ujknga lazima utapingwa kwa lugha ileile uliyo itumia.Please I do not want your ignorance, and do not follow me the great mule you
Tuheshimiane tafadhari
Huwa napenda kuona mtu anayebalansi habari/uchambuzi.Habari za wakti huu;
Kwanza kabisa nimpe Pole mama yangu ,Samia Hassan Suluhu kwa kuondokewa na Boss wake,Lakini zaidi nimpe hongera kwa kupata fursa ya kuwa RAIS wa Jamhuri katika kipindi ambacho Jemadari mwendazake JPM alikuwa ameweka moja kati ya malengo makubwa sana(Most ambitious goals of the Modern Tanzania) ya kutaka kufanya Tanzania iwe nchi ya kisasa.Lakini Pia niseme tu kwamba Mwendazake JPM amemuachia TAIFA ambalo kwanza ni divided yet united.Lakini pia anayo kazi ya Pembeni ya kufanya Damage control and healing
Sasa nirudi kwenye mada kuhusu nzi.Kuna nzi wengi sana ambao wamezagaa na najua mpaka wakati huu wengi tayari wameshaanza kujisogeza karibu.Kuna nzi wa aina mbili ambao wanajisogeza kwa kasi sana karibu na RAIS wetu Mama Samia Suluhu Hasan
Nzi wa Aina ya kwanza ni wale ambao walinufaika na Mfumo uliokuwepo zama za Magufuli ambao wanatafuta kila namna kuhakikisha kwamba Maslahi na fursa walizokuwa nazo kisiasa,kijamii na kiuchumi zinaendelea kuwepo na kuna wale Nzi ambao hawakupendezwa na mfumo ule na wengine hata kama waliufaidi lakini hawakuupenda na wengine ambao waliumia na hawakunufaika nao na ambao nao wanasogea kwa kasi kabisa ili waweze kubadili uelekeo wa Upepo.Hawa nzi wote ni nzi hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu.
Najua wachache wa nzi hawa unawajua ila pia najua kuna ambao huwajua au hujaweza kuwatambua ila jihadhari nao.Mheshimiwa RAIS ninapoandika waraka huu ninawaona jinsi wanavyoweka mikakati, wengine wanafuatilia historia yako kujua kama kuna kitu wanaweza kukitumia ili kukufikia kwa urahisi uweze kusikia ushauri wao. Mimi nakusisitizia waepuke hawa nzi.Kazi uliyo nayo ni kubwa sana.
Mheshimiwa RAIS, Wewe ni mrithi wa Magufuli na jamii haitakuelewa kama utaachia kusimamia yale mema ambayo Mwendazake Magufuli aliyasimamia.Usije kushawishika kudharau kukamilisha baadhi ya miradi ambayo ina tija ambayo iko katika hatua za utekelezaji kwani utajishushi heshima yako wewe na utakuwa umeitukana kumbukumbu ya mtangulizi wako JPM ambaye kifo chake kimekupa nafasi ya kuwa rais wa nchi.
Hata hivyo usiogope kuonesha tofauti hasa katika maeneo ambayo kwa hakika Mtangulizi wako hakuwa sahihi.Ndio hakuwa mkamilifu.Kuna baadhi ya mambo mengi sana yanahitaji kurekebishwa na usiogope kuwa tofauti kwani wewe unayo haki ya kuweka tone ya uongozi wako.
Naendelea kukusisitiza kwamba kwa sasa litazame Baraza la Mawaziri, kuna watu hawatakiwa kabisa kuwa humo,watakuvuruga.Kumbuka moja kati ya heshima kubwa uliyo nayo ni kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge la Katiba Mpya.Nafasi hio inakupa jukumu moja kubwa nalo ni kuukamilisha mchakato ule na kuhakikisha sauti ya wananchi inasikiwa.
Mama Samia, Wewe ni Mzanzibari, tena Mzanzibari kweli kweli Usisahau hilo.Fanya Jambo kuhusu Zanzibar
Sitaki kusema zaidi ila kama nikajaliwa nitaongeza mengine ila kwa sasa nikutakie kila la heri katika kazi yako ya kuendesha nchi yetu
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Mh. Samia H. Suluhu
Rais wa JMT
Haitakiwi wamuogope inapaswa wamheshimuHizi kelele na miluzi mingi zitakuangusha ktk uongozi wako.
Vunja Baraza la mawaziri unda upya, hizi kelele za kina musiba kibajaji, musukuma zitaisha.
Watakuogopa.
Sasa hivi Kuna kelele nyingi wengine wanakukubali lakini lipo kundi la wachache hawakukubali kabisaaa
USIPOZIBA UFA UTAJENGA UKUTA
Mbowe lini anavunja chadema ili aunde upya?Hizi kelele na miluzi mingi zitakuangusha ktk uongozi wako.
Vunja Baraza la mawaziri unda upya, hizi kelele za kina musiba kibajaji, musukuma zitaisha.
Watakuogopa.
Sasa hivi Kuna kelele nyingi wengine wanakukubali lakini lipo kundi la wachache hawakukubali kabisaaa
USIPOZIBA UFA UTAJENGA UKUTA