Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Na wabunge wao ni wanafiki wamegonga meza hadi mikono imeota sugu.
Wabunge wa ccm
giphy.gif
 
Na wabunge wao ni wanafiki wamegonga meza hadi mikono imeota sugu.
Tuna wabunge sio wa dunia hii, kuimba, kusimama, makofi hata sehem isiyo ya makofi
Wanapiga makofi mpaka jina la mtu likitajwa tu! Wanahribu hadi flow nzima ya mzungumzaji
Yan mkuu we acha tu , utakuta ata mzungumzaji amekereka
 
CCM walizoea kuishi kwa urongo, ufitini, uzushi, utekaji, na kejeli.

Rais Mama Samia ameyakataa mambo haya yote na hivyo kuwaweka CCM wakose ajenda dhidi ya Upinzani. Wanatakiwa kujibu hoja kwa hoja na sio kwa mapanga.
Je wataweza?
kwani yeye mwenyewe siyo ccm? siyo mataga?
 
CCM walizoea kuishi kwa urongo, ufitini, uzushi, utekaji, na kejeli.

Rais Mama Samia ameyakataa mambo haya yote na hivyo kuwaweka CCM wakose ajenda dhidi ya Upinzani. Wanatakiwa kujibu hoja kwa hoja na sio kwa mapanga.
Je wataweza?
Bavicha bhana... as if rais anatoka upinzani...
 
CCM walizoea kuishi kwa urongo, ufitini, uzushi, utekaji, na kejeli.

Rais Mama Samia ameyakataa mambo haya yote na hivyo kuwaweka CCM wakose ajenda dhidi ya Upinzani. Wanatakiwa kujibu hoja kwa hoja na sio kwa mapanga.
Je wataweza?
Mataga is a myth ambayo ipo kwenye ubongo wako.....
hapa kuna watanzania tu
 
Pale alipomwambia Jaji Mkuu watoe hukumu za haki nilionanwabunge wa Ccm nyuso zimebadilika. Akawarudia polisi na magereza naon somo limesomeka. Ile kubambika watu kesi ina elekea mwishoni sasa.
Mungu amesikia maombi ya Watanzania.
 
CCM walizoea kuishi kwa urongo, ufitini, uzushi, utekaji, na kejeli.

Rais Mama Samia ameyakataa mambo haya yote na hivyo kuwaweka CCM wakose ajenda dhidi ya Upinzani. Wanatakiwa kujibu hoja kwa hoja na sio kwa mapanga.
Je wataweza?
Mbona MATAGA wengi tu wameishahama nchi mkuu? Mama Samia kawamaliza......hawana pa kutokea.
 
Back
Top Bottom