chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
Binafsi bado naendelea kumfanyia analysis,bado hajanishawishi hata kidogo,nasubiri baada ya miaka 2 ,nione taswira itakuwaje,kwa Sasa bado mapema sana.ila najua mama unapitapita humu,neno langu kwako,usijisahau upo kwa ajili ya watz ,sio wazungu na propaganda zao,haka kanyimbo Cha korona kakome hapa tz,waache wnanchi wapige kazi sio ,kuwatishia na kuwaimbia pambio la korona na chanjo,huu upuuzi ukome,watu wapige kazi taifa lisonge mbele.