Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Binafsi bado naendelea kumfanyia analysis,bado hajanishawishi hata kidogo,nasubiri baada ya miaka 2 ,nione taswira itakuwaje,kwa Sasa bado mapema sana.ila najua mama unapitapita humu,neno langu kwako,usijisahau upo kwa ajili ya watz ,sio wazungu na propaganda zao,haka kanyimbo Cha korona kakome hapa tz,waache wnanchi wapige kazi sio ,kuwatishia na kuwaimbia pambio la korona na chanjo,huu upuuzi ukome,watu wapige kazi taifa lisonge mbele.
 
Pongezi yangu

Mama akiongeo hua mwili unasisimka kweli mkewangu hufurahia kinachofata baada yakumsikiliza kwakweli
 
Mh Rais Samia Suluhu Hassan naomba nikukumbushe kuwa ili uwe rafiki wa ao wamaghairibi lazima kwanza uzingatie maslahi yao! Ilo ndiyo kubwa kwao hizo demokrasia na mambo mengine ni zuga tu au wanatafuta naomna ya kukuingia tu mambo yao yaende sawa.

Nikupe tu ukweli kuwa usije ukadhani mtangulizi wako labda walipishana eti kisa demokrasia lah! Maslahi yao yalifinywa sana kuanzia kampuni yao ya Symbion ambayo ilitokana na Richmond baadae ikaja na Dowans na mwisho wa siku ikaja Symbion kwa mitambo ileile wakiuziana wenyewe kwa wenyewe na mwisho wa siku tukamuona mpaka Rais Obama akija kuzindua Symbion kampuni ya kinyonyaji ilikuwa inachukua service charge atakama hatujatumia umeme wao.

Symbion kwasasa iko hoi katika awamu ya JPM alifuta service charge za umeme mi mikataba ya ovyo ikavunjwa mpaka wakaenda kutushtaki, na mwisho wa siku kampuni yao ikashindwa ata kulipa wafanyajazi na wanyakazi wakaenda kushtaki na Mahakama ikaamuru mitambo yao ipigwe mnada.

Mh Samia hatukukatazi kushirikiananao lakini shirikiana nao kwa akili.

Mwisho kabisa Mh Samia rejea kisa Jamal Kashoghi kuuwawa na mtoto wa Mfalme wa Saudia Mohamed Bin Suleiman (MBS) licha ya kuwa walipata ushahidi wote juu ya mauahi yale lakini walishindwa kuwachukulia hatua Saudia sababu ya maslahi yao tu.

Mh Samia ishinao kwa akili.
Wasalaam
JF Member.
 
Habari ya sabasaba wanajamii!
Moja kwa moja kwenye mada. Kwa mambo aliyoyafanya mama kwa watumishi ndani ya muda mfupi mfano:
1. Kaanza kulipa malimbikizo ya muda mrefu.
2. Kaondoa riba bodi ya mkopo
3. Mwakani ataongeza mshahara ila mwaka huu kapunguza kodi 1%
4. Watumishi wamepanda madaraja na mshahara kubadilika mwezi huo huo tofauti na zamani unaweza kupanda daraja 2010 mshahara ukabadilika 2012.
Kwa mambo hayo aliyoyafanya ndani ya siku chache nimekuwa na imani na wazanzibari. Hivyo napendekeza rais ajae baada ya mama atokee Zanzibar inaonekana wana roho nzuri na hawapendi watu wateseke.
 
Si watetei wazanzibari ila wengi ni wakarimu sana. Naona makuzi yao hasa ya kumhofu Allah yanaleta + ve impact kweny uongozi wake
 
Mimi nina furaha kubwa sana
Mwezi June nimelipwa malimbikizo ya miaka 3 nyuma, nimepanda daraja.
Turudi Zanzibar tu
Viongozi wengi wanaotoka Zanzibar wanajali utu sana.kwa kweli wanafaa zaidi. Inaelekea unapoingia ndani zaidi kuelekea bara ndivyo wanatoka watu katili zaidi. Distance from the sea. Closer one is to the sea more humanly he become. Further one is from the sea more rude he become.
 
Viongozi wengi wanaotoka Zanzibar wanajali utu sana.kwa kweli wanafaa zaidi. Inaelekea unapoingia ndani zaidi kuelekea bara ndivyo wanatoka watu katili zaidi. Distance from the sea. Closer one is to the sea more humanly he become. Further one is from the sea more rude he become.
Hakika mkuu, sijui bahari ina nini?
 
Back
Top Bottom