simonrajab
Member
- Jan 15, 2022
- 47
- 16
#kaziiendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3. Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4. Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5. Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7. Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8. Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo...
Mchaga akishiba mbege akili inaruka juuNianze kwa pongezi,hakika leo nimemwelewa Mh Rais Samia alipokuwa akitolea ufafanuzi wa baadhi ya mambo alipo kutana na wadau wa demokrasi.
Niungane nae,suala la vyombo vya habari ameliongelea vizuri sana Kwa maana ya uhusinao wa vyombo vya habari na vyama vya siasa,
Ni nadra sana kukuta Chombo Cha habari kama TBC one kikilipoti habari nzuri dhidi ya chadema,hata Tanzania daima dhidi ya ccm Ili ni kosa.
Siungaji nawe,wara kijiwe Cha wananongwa yaani hao walioitwa kikosi kazi dhidi ya suala la katiba mpya katiba mpya hatuiitaji kwa ajili ya uchaguzi la hasha tunataka katiba mpya kuweseha kuondoa viongozi wa ovyo inapotokea Taifa letu likewapata mathalani mwendazake, sabaya na makonda tungelikuwa na katiba wasingefanya waliyoyafanya.
The same bushit haiwezekani watu wamtusi Raisi wa nchi heti wanasamehewa na aliyetukanwa na baada wanateulliwa Tena kwa usafi gani tunaitaka katiba itakayo ondoa upuuzi huu.
Mh Rais Mimi ni miongoni mwa vijana walio furahi niliposikia unatafuta business partner wa bandari hasa upande wa mifumo,Tena Mimi ningeshauri uiuze tu moja kwa moja tule chetu mapema,kama hatutaki katiba Kwa Nini rasirimali zote tusiziuze tukala chetu mapema kabla ya uchafu au machafuko?
Mh Raisi katiba sio kwa ajili ya kulinda wanasiasa wapate madaraka, elewa hivyo jamani.
Mh Rais ninae mdau anataka tuibabue Tanesco baada ya kuona haifanyi vizur yeye ni kampuni ya solar inataka inunue Tanesco au awe business partner wako fanya fasta nipm hapo fasta upige pesa.
Mwisho kabisa Mimi sifileo ni mkurugenzi wa kampuni ya ulinzi East Africa nimefanya vizuri sana kiulinzi wa Raia na Mali zao, Uganda na Kenya na Rwanda Sasa naitaji uniuzie jeshi la polisi Mimi ntanunulia na mitambo Yao yote na wanadamu wote ila mkubwa wao,kingai na wengine nitawastafisha haraka nataka Damu changa zipige mzigo hapo.
Niuzie jeshi la polisi nakuhakikishia nitawapigisha kazi jeshi la polisi wapige kazi na ntawaepusha kuacha kukusema wewe Mh Rais unaposema hawafanyi kazi Mimi wakinisema nawawashia moto dadeki na kuwasweka ndani Sina mjadara katika ilo
Zile research Ni za wazungu hazireflect ukweli.Ila mbona furaha imezidi kupungua zaidi kwa mujibu wa research iliyofanyika.
Ila pia kuhusu mihimili kuwahuru Wala sio kweli, spika aliondolewa kwa kumpinga raisi
Yamekuwa hayo tena, si tumakubaliana tunaenda na dunia inavyotaka?Zile research Ni za wazungu hazireflect ukweli.