Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jasiri sana!! Haogopi dhoruba ya angani, January to December anakata mawimbi tu!! Leo yupo Paris. Ha ha haaaaHongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo:
Kwanza, usiturudishe nyuma tena. Awamu ya tano imetuonyesha nini maana ya uhuru na kujitegemea. Tanzania haina mjomba wala shangazi huko nje. Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe. Jukumu lako ni kutupanga, kutuvuvia, kutushawishi na kutuonyesha kwa mfano wako wewe mwenyewe kwamba inawezekana, tunaweza, tusonge mbele.
Pili, Mzee Magufuli amefariki, lakini spirit yake inaishi. Ni askari aliyefia vitani akiwa mstari wa mbele, katika kupambania uhuru wetu na kujitegemea kwetu. Usije kufanya kosa kufanya mapungufu ya style ya Magufuli ya uongozi, iwe kigezo cha wewe kubadili uelekeo wa nchi yetu katika kujiamini na kuthubutu. Magufuli amefariki lakini kaacha alama na kaacha spirit. Wenye hiyo spirit wamo ndani ya chama tawala, vyama vya upinzani, serikalini, sekta binafsi, kwa wakulima na wafanyakazi. Hili ni jeshi kubwa sana, usicheze nalo.
Tatu, tutakusikiliza kwa umakini, tutakuangalia sana mienendo yako, tutatizama sana namna zako kama zinaturudisha nyuma au zinatupeleka mbele. Nisiseme sana katika hili, lakini itoshe tu kwamba spirit ya Mzee Magufuli inaishi. Tukiona tu dalili kwamba unakotupeleka siko hatutakuvumilia. Tushaonjeshwa uhuru hatutarudi tena kwenye utumwa. Tushaonjeshwa kujitegemea hatutarudi kwenye utegemezi tena.
Mwisho, Mungu akupe hekima ya kuongoza watu milioni 60 kwa akili na ujasiri. Ninaamini utatuvusha salama, karama ya uongozi unayo, itendee haki. Tegemea ushirikano wetu.
Pia soma: Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Pongezi kwako Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT. Natoa pongezi jioni hii ili kuwahi asubuhi njema ijayoHongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.

Wewe na Waziri wa Fedha mwenye PhD ya uchumi nani anajua zaidi? Nape kasema fanyeni kaziNilitamani mama afanikiwe na bado natamani!
Mimi ni miongoni mwa wale tuliotolewa upinzani kwa nguvu na kujiunga CCM. Sijui leo nina sura gani, lakini kwa kuwa sura yangu ya kwanza ilikuwa kusema ukweli, basi hapo ndipo nitabaki na wala andiko hili lisihusishwe na chama chochote...
Serikali gani imepatia?Nani alikuambia serikali duniani kote zimeshindwa kufanya biashara?
Jielimishe dunia inavyoenda.Kufeli kwa ccm kufanya biashara haina maana serikali zote duniani zimefeli.
Nilitegemea utatafuta maarifa mwenyewe ili kujua kama nilichokisema ni sahihi,badala yake unataka kutafuniwa kila kitu,jambo ambalo ni la kawaida kwa wasomi wajinga mliojaa nchi hii.Serikali gani imepatia?
Bila ya kuondoa kikokotoo kwa mara ya kwanza nitatumia haki yangu ya kikatiba kumkataa na chama chake. Hata kama yeye na chama chake CCM atachaguliwa na raia wote wa Tanzania moja ya hapana itakuwa ya kwangu.Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo...
Sawaaa mkuu ila ndo ishakuwa.Usimfananishe mama yangu na huyo nyapara please mkuu nakuomba
Hawezi kuwa mama yangu na hatokua!!