Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Gentleman,Raisi amefikia kusikiliza washauri wake wanamwambia serikali inunue engine za diesel kwa ajiri ya kuendesha tren za umeme na mawazo hayo anaona nisahihi ! Badala ya kuboresha umeme wa uhakika yeye anaona Kila wazo linaloletwa na kadogosa lipo Sawa hata kweli huyu ccm huyo ndiye mnataka aendelee kutuongozea nchi yetu !
Raisi anapaswa kuwa na msimamo katika kuendesha nchi mawazo mengine ya viongozi wake inatakiwa ayachakate aone kama yanafaa au hayafai siyo Kila kitu kukubali ! Raisi unahujumiwa mbele ya wapiga Kura wako unaona Sawa.
Sgr hadi Sasa mkandarasi kakimbia site hakuna hela mradi umesimama siyo mwanza shinyanga wala tabora hakuna kinachoendelea.
Haya tumekubali leteni hizo nchini tunasubiri 2025
CCM wote wenye mapenzi mema na hii nchi tangazeni kugombea uraisi hata mkiwa kwenye mahoteli/nyumbani kwenu kama alichofanya tundu lisu kuelekea 2025 Hana cha kuwafanya huyo mama yenu hamzuiiwi kikatiba na hakuna form moja kama inavyosema.
Diesel na Gas ni mbadala muafaka wa nishati ya umeme,
Kuna ubaya gani kua na alternative energies sources kuendesha machine kama sgr?🐒