Uchaguzi 2020 Maoni ya Jeffery Smith juu ya Uchaguzi wa Tanzania 2020

Jibu hoja acha matusi ,kilichowafanya mgomee uchaguz wa Serikali za mitaa , je Zile sababu kwasasa zimerekebishwa?

Kinachowapeleka Uchaguzi mkuu ni nini kama sio Njaa na uchumia tumbo angalau mpate Ruzuku ambayo inatafunwa na Mbowe.
 
Jibu hoja acha matusi ,kilichowafanya mgomee uchaguz wa Serikali za mitaa , je Zile sababu kwasasa zimerekebishwa?

Kinachowapeleka Uchaguzi mkuu ni nini kama sio Njaa na uchumia tumbo angalau mpate Ruzuku ambayo inatafunwa na Mbowe.
Inakuumiza kina Mbowe kula ruzuku ?! Umeshawahi kujiuliza ni nani anatumia hazina ya taifa apendavyo ?! Wee endelea kupost

2016 Cuf walijitoa marudio Zanzibari, iliwasaidia nini ?!
2019 Cdm ilijitoa serikali za mitaa iliwasaidia nini ?! Ukijijibu maswali hayo utaona ni kwanini wameamua kushiriki hata kama njia yote imejaa miba.

Ungetamba kama chama chako hicho kinashinda chaguzi zilizo huru na haki. Ndiyo useme mna mtandao . Lakini hii ya kuwalazimisha wakurugenzi kuwatangaza ni sawa na kujidanganya
 
Paskali usijitetee..ni ukweli mtupu siku hizi unajipendekeza sana mpk unakera!

Unakumbuka lile swali ulilomuuliza Mh.rais kuhusu kupiga marufuku mikutano ya kisiasa!? Je unahisi unayo courage ya kumuuliza swali hilohilo kipindi hiki!?(jibu ni hapana) why!? Kwa sababu mnajipendekeza sana hadi mnatia aibu..sijui mnazifundisha nn familia zenu kupitia kwenu.
 
Hivi Ccm na waliomo siyo wachumia tumbo ?! Hivi hawa ninaowaona hawa si wasaka tonge ?!. Kama si wasaka tonge kwanini waweke mazingira magumu kwa WaTz kuchaguwa wawapendao ?!
 
Mbona mnajifanya kupaza sauti kwa waliouliwa huko mbali, wa Tz je mbona hamuwasemei, au wao ni wanyama?!
 
Nilijua huyo Jaffray ni mtanzania mwenzangu, kumbe ni Beberu?!
Sasa tangu lini Beberu akamtakia mema mtu mweusi?
Aka gongwe huko.
 
JEFFREY SMITH .

Kiongozi na mwanaharakati wa kutetea ushoga marekani.

Ni rafiki wa tundu lissu na ndie amekuwa akimuandalia mikutano mbalimbali ndani na nje ya marekani. View attachment 1487459View attachment 1487460View attachment 1487461

Punguza uongoJeffrey Smith, from Vanguard Africa which campaigns for free and fair elections, said recent actions by Tanzania’s regime demonstrated it “knows they cannot win on an equal political playing field.”
 
Mkuu wala usiwe na hofu na hilo data tunakusanya kila siku. Tunazihifadhi kwenye satelite picha na video za matukio zinahifadhiwa kwa matumizi ya hapo baadae.
 
Jibu hoja acha matusi ,kilichowafanya mgomee uchaguz wa Serikali za mitaa , je Zile sababu kwasasa zimerekebishwa?

Kinachowapeleka Uchaguzi mkuu ni nini kama sio Njaa na uchumia tumbo angalau mpate Ruzuku ambayo inatafunwa na Mbowe.
Unataka fisi aachiwe kulinda nyama??!
 
Nilijua huyo Jaffray ni mtanzania mwenzangu, kumbe ni Beberu?!
Sasa tangu lini Beberu akamtakia mema mtu mweusi?
Aka gongwe huko.

Je wale mabeberu wanaotupa misaada, huwa wanawatutakia nini watu weusi?
 
Hivi TANU,ANC,ZANU,MPLA wakati wanawapinga wakoloni ili watawale wao bila shaka walikua wapinzani dhidi ya huo utawala. Je,walikua na experience ipi ya kuweza kuunda serikali na kutawala?

Hivi mwalimu Nyerere alikua ameongoza nchi gani kabla ya Tanganyika? Kuwepo kwa fair and equal political play grounds sio mpaka upinzani washinde bali kau anaeshinda ashinde kihalai na anae shindwa ashindwe kihalali basi.

Nawashangaa sasa watu ambao ilibidi mlisaidie Taifa ili nanyi mnaungana na hao wanaofanya uharibifu wa kisiasa.
 
Ni nani ka-engineer uwepo wa huo unaoita upinzani usio serious kama si huyo huyo Magufuli?!

Hoja ni "Equal Political Field" na sio "Fair Political Field During the Election" !

Magufuli alipiga marufuku shughuli za kisiasa since 2016, na tangia hapo hadi sasa ni CCM peke yao ndio wanafanya siasa hadi za majukwaani!! Kule Tweeter nimeona clips ikionesha Zitto Kabwe akikamatwa tena wakati wanafanya mkutano wa ndani!

Sasa kwako hiyo ni nini kama sio ndo hiyo unequal political playing field aliyosema Jeffrey?
 
@tindo mnaenda Kushiriki uchaguzi Mkuu ,je Zile sababu zilizowafanya mkasusia uchaguzi wa serikali za mitaa zimerekebishwa?

Tukisema Upinzani ni wachumia tumbo na wasakatonge mtabisha?

Kwanini usianzishe huo upinzani madhubuti wa kuiondoa ccm? Vyama vya siasa vya upinzani kama vyama, wanaweza kuamua kushiriki au kuacha hilo ni juu yao, je sisi wapiga kura tusio na imani ya box la kura watatushawishi vipi na tume hii isiyo huru?

Kumbuka hata vyama vya upinzani vingeshiriki huo uchaguzi wa SM za mitaa, bado sisi wapiga kura wa upinzani tunaojitambua, tusingejitokeza kupoteza muda kwenye huo upuuzi uitwao uchaguzi.
 
Wale ambao walinyimwa haki ya kuchagua viongozi wanaowapenda kwenye serikali za vijiji na mitaa.
Kwa kweli mimi ni mmoja wa waathirika wa uchaguzi wa serikali za Mitaa, Mtaa wangu unaongozwa na mpumbavu fulani wa CCM ambaye hatukumtaka na hatukumchagua, sisi tulimtaka wa Chadema alokuwa kamaliza muda wake lakini hiyo haituondolei mapenzi yetu kwa JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…