MICHAEL SON
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 458
- 536
Zungumzia nafsi!., usiusemee moyo WA mwingine!.Watanzznia gani wameshamchoka Magufuli? Ukimkataa wewe siyo sisi. T 2020 JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zungumzia nafsi!., usiusemee moyo WA mwingine!.Watanzznia gani wameshamchoka Magufuli? Ukimkataa wewe siyo sisi. T 2020 JPM
Jibu hoja acha matusi ,kilichowafanya mgomee uchaguz wa Serikali za mitaa , je Zile sababu kwasasa zimerekebishwa?Huna akili au umeamua kujitoa akili ufahamu. Wapinzani wamezuiwa kufanya chochote ndani ya miaka mitano na bado mpaka jana wanakamatwa wakikutana na wananchi . Halafu unaleta ngonjera zako za wao kukosa mashina na vijiji ?! Mpuuzi kabisa wewe.
Kabla vitu hivi nenda NEC ukaone walikuwa na mitaa, vijiji na halmashauri ngapi !!. Udictator siyo kupendwa
Inakuumiza kina Mbowe kula ruzuku ?! Umeshawahi kujiuliza ni nani anatumia hazina ya taifa apendavyo ?! Wee endelea kupostJibu hoja acha matusi ,kilichowafanya mgomee uchaguz wa Serikali za mitaa , je Zile sababu kwasasa zimerekebishwa?
Kinachowapeleka Uchaguzi mkuu ni nini kama sio Njaa na uchumia tumbo angalau mpate Ruzuku ambayo inatafunwa na Mbowe.
Paskali usijitetee..ni ukweli mtupu siku hizi unajipendekeza sana mpk unakera!Duh...!. Mimi umeniweka kundi hili?.
Niangalie kwa Jicho la pili na la tatu
Kati ya wakosoaji wa Rais Magufuli na Serikali yake, na wasifiaji nani wanamsaidia zaidi? Ijue nafasi ya JamiiForums
P
Hivi Ccm na waliomo siyo wachumia tumbo ?! Hivi hawa ninaowaona hawa si wasaka tonge ?!. Kama si wasaka tonge kwanini waweke mazingira magumu kwa WaTz kuchaguwa wawapendao ?!@tindo mnaenda Kushiriki uchaguzi Mkuu ,je Zile sababu zilizowafanya mkasusia uchaguzi wa serikali za mitaa zimerekebishwa?
Tukisema Upinzani ni wachumia tumbo na wasakatonge mtabisha?
Serikali za mitaa hazina maslahi kwa Mbowe na genge lake , maana kwanza hazimuingizii Ruzuku wala wao kama wao hawagombei. Wanaogombea ni vijana wanaharakati wa mitandaoni .
Lakini Kuelekea uchaguzi mkuu ,mbowe na Genge lake wanaenda kushiriki uchaguzi mkuu ,Sababu ni moja tu sio kuchukua Dola ,Bali kupata ubunge ambao wagombea ni wao kina mbowe na genge lake la wachache., na pia kupata kura za uraisi kidogo ziongeze mrija wa Ruzuku .
Tunaposema Upinzani wa sasa ni uchwara tunamaanisha ,hauna nia ya dhati kuiondoa ccm ,
Ni kheri CCM iendelee kutawala hadi hapo tutakapopata Upinzani uliojidhatiti kushika Dola .
Sio Zito kabwe na ACT yake ,wala sio mbowe na Chadema yake wenye nia ya dhati kushika Dola.
Mbona mnajifanya kupaza sauti kwa waliouliwa huko mbali, wa Tz je mbona hamuwasemei, au wao ni wanyama?!Twita ya Smith haiwezi kuwa benchmark kwa rangi ya ngozi yake na kwa kuwa kaishi Tanzania.
Wazungu wanapozungumzia equal grounds na Afrikan countries kwenye mahusinao yetu ikiwa ni ajira, biashara na kujenga uchumi, wao wenyewe hawaitumii eaqul grounds kama good practice kwenye vitu vingi sana.
Walimuua Dr. Martin Luther King Jr, simply alitaka haki na fairness itendeke bila kujali rangi ya mtu Marekani.
Jim Crow law, white supremacy, KKK mpaka sasa zipo nyuma ya pazia ndio maana athari za kuuwawa kwa George Floyd kumezua hasira na uchungu kwa namna polisi walivyomuua mtu ambae hakua mhalifu na wala hakuwa amegoma kutii amri ya polisi.
Equal ground is very very relative word to be spoken by Smith simply because he is a white man.
Wazungu wakubali tu kuwa roho zao zinawauma kwa kuwa Tanzania ina rais imara na mifumo yetu iko very stable.
Tuendelee na Magufuli 2020-25.
Ulikuwa na jina kubwa humu, taratiiibu unalisiliba ma.v kwa kujua au kutokujua!Paskali ni yule yule Pasco wa jf ila sasa kawa Mzalendo zaidi.
P
JEFFREY SMITH .
Kiongozi na mwanaharakati wa kutetea ushoga marekani.
Ni rafiki wa tundu lissu na ndie amekuwa akimuandalia mikutano mbalimbali ndani na nje ya marekani. View attachment 1487459View attachment 1487460View attachment 1487461
Paskali ni yule yule Pasco wa jf ila sasa kawa Mzalendo zaidi.
P
Mkuu wala usiwe na hofu na hilo data tunakusanya kila siku. Tunazihifadhi kwenye satelite picha na video za matukio zinahifadhiwa kwa matumizi ya hapo baadae.Anachoweza kusaidia ni ku'highlight' maovu yote yanayofanyika na kuyaweka wazi dunia iyajue yanapotokea.
Na ili hili liweze kuwa la msaada zaidi, ni jukumu la vyama hivi vya upinzani kuwa makini sana na hujuma zote wanazofanyiwa, kuzitambua, kuzikusanya na kuziwekea ushahidi kamili wakati wowote zinapotokea.
Kwa hiyo, wapinzani ni lazima wawe na njia mahsusi kila mara, za kukusanya ushahidi wa matukio yote yanapotokea. Hii ni kazi wanayotakiwa wawe wamejiandaa vyema kuifanya.
Haya mambo ya akina Mbowe kuvunjwa mguu, na kugeuziwa kbao, hayakukoma na Lissu kumiminiwa risasi na kudaiwa ni CHADEMA wenyewe waliomfanyia hayo.
Kama mifano yote hii bado haijawapo mafunzo, sijui ni nini kitawafunza.
Hivi vyama ni lazima viwe na vitengo imara vya ulinzi wakati huu; ulinzi ni pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali juu ya matukio yanayokihusu chama.
Mkuu, 'Sky Eclat', ni kama ninakufuatilia kila mahali! Nitakomea hapa.
Unataka fisi aachiwe kulinda nyama??!Jibu hoja acha matusi ,kilichowafanya mgomee uchaguz wa Serikali za mitaa , je Zile sababu kwasasa zimerekebishwa?
Kinachowapeleka Uchaguzi mkuu ni nini kama sio Njaa na uchumia tumbo angalau mpate Ruzuku ambayo inatafunwa na Mbowe.
Nilijua huyo Jaffray ni mtanzania mwenzangu, kumbe ni Beberu?!
Sasa tangu lini Beberu akamtakia mema mtu mweusi?
Aka gongwe huko.
Hivi TANU,ANC,ZANU,MPLA wakati wanawapinga wakoloni ili watawale wao bila shaka walikua wapinzani dhidi ya huo utawala. Je,walikua na experience ipi ya kuweza kuunda serikali na kutawala?Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!.
Wanadhani Tanzania kuna serious na credible opposition ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu!
Mungu wabariki wazungu
Ni nani ka-engineer uwepo wa huo unaoita upinzani usio serious kama si huyo huyo Magufuli?!Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!.
Wanadhani Tanzania kuna serious na credible opposition ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu!.
It's very unfortunately hawajui kuwa Tanzania hatuna upinzani wowote wa maana wenye uwezo wa kushika dola!. Huu upinzani uliopo ni upinzani uchwala!.
@tindo mnaenda Kushiriki uchaguzi Mkuu ,je Zile sababu zilizowafanya mkasusia uchaguzi wa serikali za mitaa zimerekebishwa?
Tukisema Upinzani ni wachumia tumbo na wasakatonge mtabisha?
Kwa kweli mimi ni mmoja wa waathirika wa uchaguzi wa serikali za Mitaa, Mtaa wangu unaongozwa na mpumbavu fulani wa CCM ambaye hatukumtaka na hatukumchagua, sisi tulimtaka wa Chadema alokuwa kamaliza muda wake lakini hiyo haituondolei mapenzi yetu kwa JPM.Wale ambao walinyimwa haki ya kuchagua viongozi wanaowapenda kwenye serikali za vijiji na mitaa.