Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!.
Wanadhani Tanzania kuna serious na credible opposition ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu!.
It's very unfortunately hawajui kuwa Tanzania hatuna upinzani wowote wa maana wenye uwezo wa kushika dola!. Huu upinzani uliopo ni upinzani uchwala!.
Kwa uchaguzi huu wa 2020, japo ni mchungu kumeza ila ndio ukweli wenyewe
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
P