Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Pascal ndio wale wale!!Hata Gavana wa Uingereza hakuamini kama Mwalimu Nyerere na TANU wanaweza kuiongoza Tanganyika. Matokeo yake umeyaona mwenyewe.
Unawezaje kumhukumu mtu kuwa hawezi wakati hapewi nafasi?
kumbe,,,!!!nilikua nijiuliza huyu Jeffrey Smith sio shoga kweli?JEFFREY SMITH .
Kiongozi na mwanaharakati wa kutetea ushoga marekani.
Ni rafiki wa tundu lissu na ndie amekuwa akimuandalia mikutano mbalimbali ndani na nje ya marekani. View attachment 1487459View attachment 1487460View attachment 1487461
Mmmh kwani wewe unaonaje,Mkuu?usiwe msemaji wa hao unaowaita Mabeberu toa maoni yakoDuh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!.
Wanadhani Tanzania kuna serious na credible opposition ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu!.
It's very unfortunately hawajui kuwa Tanzania hatuna upinzani wowote wa maana wenye uwezo wa kushika dola!. Huu upinzani uliopo ni upinzani uchwala!.
Kwa uchaguzi huu wa 2020, japo ni mchungu kumeza ila ndio ukweli wenyewe
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
P
Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!
Mayalla kwa tabia na vitendo vyako tangu 1995 ulipokuwa DTV, hata wewe ni mpinzani. Hivi hata wewe hujiamini kiasi cha kujiona ni uchwala!? Siamini. Ninadhani ume-joke tu. Tafadhali usiendekeze mizaa kwanye serious issues hususan masuala ya utawala wa nchi.Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!
Tumwambie mara ngapi?How dare you are?
Kama kweli ulichokiandika mwambie aruhusu uwanja huru wa mapambano,Mwambie aachane na polisi,Mwambie aruhusu tume huru
Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!
Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!
Hawajui siasa zinazotumika (labda pride international milele)Nakubaliana na wewe Mr Smith
Magufuli na CCM wanajua, wakiweka fair ground kwa wote, CCM wanashindwa uchaguzi asubuhi na mapema!
Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!
Duh, nilichoshauri Twitter ni hikiPASKALI, ni wewe umejibu hivi au ni Kawe Alumni? Kama ni wewe kweli, Basi tukufanyie sala ya urejesho, urudi ligi kuu.
Sasa naanza kuamini kuwa ni kweli ulishauri Twitter ifungiwe